NEW ARRIVAL @ TERYTEVY!!!!

MZIGO MPYA UMEWASILI TERYTEVY KAMA KAWAIDA YAO VILE VITU HADIMU KABISA KUVIPATA HAPA BONGO, TERYTEVY WANA BIDHAA TOKA KWA DESIGNERS WAKUBWA DUNIANI, TERYTEVY WANA NGUO TOKA KWA DESIGNERS KAMA VILE CACHE, GUCCI, WANA VIATU VYA AINA ZOTE HIGH HEELS & FLAT SHOES ANN, TAYLOR, MANGO, FOREVER 21, ALDO, LOIUSE ETCIE & NEXT, HANDBAG ZA UKWEE'E NA VILE VITENGE ORIGINAL TOKA WEST AFRICA VINAPATIKANA TERYTEVY
WANAPATIKANA::  KARIBU NA KINONDONI MWEMBEJINI (MAKABURI YA KANUMBA)
MAWASILIANO::+255 652 435 332 / 754 350 912 / 717 315 731
VITENGE ORIGINAL
TERYTEVY NI WAUZAJI WA VIATU TOKA KWA DESIGNERS WAKUBWA DUNIANI KAMA VILE ANN, TAYLOR, MANGO, FOREVER 21, ALDO, LOIUSE ETCIE & NEXT

HANDABAG
TERYTEVY WANA  NGUO ZA DESIGNER WAKUBWA DUNIANI
YELLOW MINI DRESS DESIGNER BY CACHE
 

LACE JUMPSUIT DESIGNER CACHE
BLACK JUMPSUIT DESIGNER BY GUCCI


Post a Comment

3 Comments

  1. mmmmh vitu vizuri jamani! mpaka nachanganyikiwa mmesema mko wapi vile?

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli vitu vinavutia,ila maelekezo ya namna ya kufika hapo mlipo,sijaweza kuwapata vizuri Mmesema makaburi ya Kanumba mkimaanisha makaburi ya Kinondoni?I need shoes jamani.

    ReplyDelete
  3. jamani je na sisi wa mikoani twaweza tumiwa. Nimependa vitenge

    ReplyDelete