SALOME'S BACHELORETTE PARTY!!!

SALOME's BACHELORETTE PARTY IN LAS VEGAS, HAPA NIMEGUSWA NA MGOLORI (SHUKA LA KIMASAI) NA VIATU VYA SHANGA, NI WADADA WANAOJIPENDA NGUO WALIBADILI MARA TATU....PHOTO CREDIT ISKAJOJO
 Post a Comment

9 Comments

 1. mashughuli ya maulaya yaliyokwenda shule haya, pendeza sana wadada

  ReplyDelete
 2. Wamependeza sana hadi raha kutazama

  ReplyDelete
 3. WAMEPENDEZA SANAAAAAA SANAAAAAA WABONGO MLIOPO MAMBELEZ NAWAPA BIG UP MNAJUA KUJIPANGILIA MAKE UP ON POINT WAZURI WENYEWE NIMEWEZA KUWATAMBUA WADADA WAWILI AMINA MAZONGE NA DORA KACHENJE HAWA WALISOMA KIBOSHO GIRLS - MOSHI WABONGO MLIOPO JIJIN ONENI JINSI WENZENU WALIVYOJIPANGILIA NAWAPA HONGERA KUBWAAAAAAAAA MWAAAAAAA

  ReplyDelete
 4. NA DADA YAKE NA MADAME WEMA SEPETU KAMA SIKOSEI SUNA SEPETU NAE ALISOMA KIBOSHO GILRS - MOSHI WATOTO WAKIBOSHO WALIKUWA WAZURI BALAAAAAA WATOTO WALIOSOMA PALE NI WATOTO WA MATAJIRI ASIKWAMBIE MTU TENA WANACHAGUA NANI AINGIZWE SHULE NANI ASICHUKULIWE WATOTO WA MAWAZIRI NDIO USISEME MATAJIRI WA MOSHI WANAO WALISOMA PALE WATOTO WATOTO KWELI NOMAAAAAAAA

  ReplyDelete
 5. This is sooo wooow.....

  ReplyDelete
 6. Nice, classic, Pandwe Kalala namuona pia

  ReplyDelete
 7. Wow imependeza,Na dadake madam Tunu Sepetuu she z soo cute!!

  ReplyDelete