SHEREHE ZA UWT MIAKA 38, KATA YA JANGWANI KARIAKOO ZAFANA!!!

 CHAMA CHA MAPINDUZI KATA YA JANGWANI, WILAYA YA ILALA WAANDAA MKUTANO WA HADHARA WA UMOJA WA WANAWAKE (UWT), ULIOFANYIKA KATI YA MAKUTANO YA MTAA WA KONGO/FARU, MGENI RASMI NI MHE. MBUNGE WA ILALA AZZAN MUSSA ZUNGU....

MH. MBUNGE WAWILAYA YA ILALA MUSSA ZUNGU AKIFUNGUA SHINA LA UMOJA WA WANAWAKE, WAJASIRIAMALI GOLOGOLO GROUP
NIKISALIMIANA NA MH. MBUNGE....
 MKURUGENZI WA GUSAGUSA MIN BAND HASSAN FAROOQ AKISALIMIANA NA MH. MBUNGE ZUNG
 MH. ZUNGU AKISAINI KITABU CHA WAGENI
 WANANCHI WAKIMTUNZA DIWANI WAO KW KUFANIKISHA HAFLA HII
BI MZERU, MWENYEKITI WA WILAYA UWT

MH. MBUNGE AKIONGEA NA WANANCHI
 DIWANI WA KATA YA JANGWANI NA MWENYEKITI WA U.W.T WA VITI MAALUM AKIONGA NA WANANCHI, BI ESHE SURURU
WANACHAMA WAPYA U.W.T
 KATIBU KATA JANGWANI TOSHA AKISALIMIANA NA MH. MBUNGE
WANACHAMA WAPYA WAKIKABIDHIWA KADI ZAO ZA U.W.T NA MH. MBUNGE
 MHE. MBUNGE ZUNGU AKIKABIDHI CERTIFICATE 
BURUDANI

MSANII WA GUSAGUSA AKIPONGEZWA NA MHE. MBUNGE BAADA YA KUIMBA KIBAO KIKALI CHA CCM
BI AFUA TOKA GUSAGUSA MIN BAND AKITOA BURUDANI
NYUSO
HAFSA PENDEZA SANA
HAFSA, FATUMA & ESHE SURURU
BAHIYA & FAUZI BENBELA
BAHIYA AKIWA NA MBUNGE, 
HASSAN FAROOQ MKURUGENZI GUSAGUSA MIN BAND
SHARIFFA & MARIAM
HASSAN & BAHIYA
BAHIYA & FATMA
ZAKIA & TABU
DJ AKIWARUSHA WANA CCM
BI HAFSA HUYO....
BI ESHE SURURU, DIWANI WA KATA YA JANGWAANI.....
WANA WA JANGWAANI...HAO
MHE. MBUNGE
WANAFUNZI WA VYUO VIKUU WALISHIRIKI
MARIAM MKWECHE


Post a Comment

0 Comments