CONGRATS DR. RAHMA HINGORA!!!

 WISHING YOU ALL THE LOVE & HAPPINESS IN THE WORLD & CONGRATULATION ON YOUR MARRIAGE. BONYEZA KITUFE KUONA ZAIDI.......
PHOTOBY::MASHUGHULIMEDIA


Post a Comment

7 Comments

 1. Woow kweli ameenda shule mpaka shughuli yake mashaallah apate mume mwema si waume wa siku hizi wa kichina china !

  ReplyDelete
 2. Mashallah Hayo Madini!!!! Mwenyezi Mungu akubarikie Ndoa yako na uzao wako wote.

  ReplyDelete
 3. congratulations dr Rahma, I wish I was there just to see how proud your dad Dr Hingora is of you, hes the greatest family man ever, I missed this send off, mashughuli tuweke picha za shughuli jamani tuliokosa

  ReplyDelete
 4. Kapendeza mno, tuambie lemba limefungwa wapi maana ni wataalam sana ili nasi tupeleke maharusi wetu

  ReplyDelete
 5. KAAALI SAANA, IMEPENDEZA MNO. Mbona mmetupunja picha?

  ReplyDelete