SAADA's KITCHEN PARTY!!!

Bride                     ::Saada
Venue                   ::Picolo Beach
Event                    ::Kitchen Party
Décor                   ::
Cake                     ::
Colour                  ::Blue Yellow & Hot Pink
Makeup                ::Glambox
Dressby                ::Kiki’s Fashion
Photoby               ::Mashughuli Media  +255 655 426 100/ 758 266 701
YES!!! NI KITCHEN PARTY YA BINTI MREMBO, KAPENDEZAJE? SHUGHULI PAMBE KUANZIA DECOR....WAZAZI NA DRESS CODE YA SWAGA ZA NAIJA NG'ARING'ARI......///

 
MWARI NA SOMO PENDEZA KWA SANA EEH!!!
MC-JAMILA KAMA KAWAIDA YAKE....
SAADA AKIINGIA
SOMO AKIMUINGIZA MWARI WAKE KWA UDI....
MWARI AKIFICHULIWA
SOMO FATMA AKIMFICHUA MWARI WAKE KWA PESA ZILIZOPAMBWA NA MAUA, SOMO UKO JUUU HAPANA CHEZEYA....
DECOR...///
ZAWADI
KAMATI
INTRO......//
 WIFIS
WAZAZI WAKITAMBULISHWA....
CAKE
CHAMPAGNE
BURUDANI
BI HARUSI SAADA ALICHEZA SAANA
NYOTA AKITOA BURUDANI
ZAWADI
WAZAZI WAKIKABIDHI ZAWADI KWA SAADA
MAMA MKUBWA AKIKABIDHI ZAWADI
WIFIS
MAMA MKUBWA AKIKOSHWA
SOMO AKIKABIDHI ZAWADI
MWARI NA SOMO PENDEZA SANA
SOMO AKIFUTWA JASHO NA WAFANYAKAZI WAKE WA FASH FASHION
WAZAZI WAKIFUTWA JASHO
SAADA AKIWAPA WAZAZI WAKE ZAWADI
CHAKULA
NYUSO
MAMA MZAA CHEMA
MAMA MKUBWA MASHAALAH....!!!
MAAGENT WA BANDARI HAO HAPANA CHEZEYA
SAADA NA FAMILIA
SALMA & NYOTA
MAMA NA MWANA
SOMO WA UKWEE'E FATMA MKUREGENZI WA MADUKA YA FASH FASHION
NYOTA, SALMA & FRIEND
WAZAZI PENDEZA SANA
MANYAKANGA WA UKWEE'E 
RED CARPET


Post a Comment

3 Comments

  1. Palinoga haswa rangi zao zilizidisha ukumbi kupendeza

    ReplyDelete
  2. Pendeza sana kwa kweli,bigbup shughuli blog

    ReplyDelete
  3. Kanyama familly hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!! mpo juu kwa kweli daaa!! hongereni sana.

    ReplyDelete