SHEREHE YA NDOA YA ALL & FATMA!!!!

Bride           ::Fatma Mohamed
Groom        ::Ally Hassan
Venue         ::Myfair Hall
Event          ::Nikkah
Cake           ::
Colour        ::Baby Pink & Gold
Makeup       ::Maznat
Photoby      ::Mashughuli  +255 655 426 100 / +255 758 266 701
MASHALLAH NI FATMA NA MUME WAKE ALLY, LEO WAMEFUNGA NDOA, BI HARUSI KAPENDEZA SANA....ALJAZEERA  LIVE BAND WAKITOA BURUDANI

MC
BI HARUSI FATMA AKIINGIA....
FATMA NI MFANYAKAZI WA ZIMAMOTO, ALIAMUA KUBEBWA NA GARI LAO LA FIRE
 BWANA HARUSI AKIINGIA KUMPA MKONO MKEWE
ALLY AKIMPA MKONO MKEWE
DUA
DECOR...
PETE
PETE ZIKIPELEKA KWA ALLY NA FATMA
CAKE
CHAMPAGNE
 BURUDANI
WANA WA ALJAZERA LIVE ON STAGE!!!
CHAKULA
ZAWADI
FATMA AKIKOSHWA NA MDOGO WAKE
NYUSO
MAMA NA MWANA
FATMA & WIFIYE MWAHIJA
MAMA MZAA CHEMA
SISTERZ
PAMBE YA SOMO TANT HIYO
BABA NA MAMA
ESTER & LUZENGO
RED CARPET

Post a Comment

3 Comments

  1. nimempenda aliewafunga malemba (asoebi) amepatia sana big up, tupia contacts nimtafute kuna wedding mwezi ujao

    ReplyDelete
  2. maashallah wapendezajeeeeeeee

    ReplyDelete