ANWAR MONEY PARTY!!!

Groom                   ::Anwar Kismat
Venue                    ::Msasani Tower
Event                     ::Money Party
Caterer              ::Bon Catering Ltd
Colour                  ::Red & Black
Décor                    ::
Mc                         ::Jamila Kitimtim +255655374440
Entartainment       ::Raha Original Live Band - +255717231050
Photoby                 ::Mashughulimedia - +25575826 701/0655426100
YES NI MONEY PARTY, MCHEZO PESA, PESA MAKARATASI, NI ILE LE FAMILIA YA  KISMAT MAMA MZAZI RAHMA KISMAT AMFANYIA MONEY PARY KIJANA WAKE ANWAR, SHUGHULI PAMBE SANA NI MAMBO YA PESA TU, SARE ZIMENOGAJE, SUBIRA GROUP SARE YENU NAMBAR ONE, CHAKULA KINZURI, RAHA ORIGINAL WAKITUPA RAHA KAMA JINA LAO, MAMA MZAZI KAKOSHWAJE MIDOLLAR MPAKA POUND CHEZEYA WENYE PESA MJINI...., WAKO KIMYAAA HATA HUWAJUI...

ANWAR NA KAKA YAKE MKUBWA DADDY
DADDY 
MC JAMILA KITIMIM
MAMA MZAZI AKIINGIA UKUMBINI WANA KIKUNDI SUBIRA GROUP WAKIMUINGIZA, PAMBE SANA SARE ZIMEWATOAJE...
 ANWAR AKIINGIZWA NA SHEMEJI ZAKE, SUBIRA JUNIOR GROUP WAKISINDIKIZA
 SUBIRA GROUP JUNIOR PICHANI NA BWANA HARUSI MTARAJIWA
 FAMILIA YA KISMAT WAKISALIMIA
 SUBIRA GROUP NA NDIO KAMATI YA SHUGHULI
ARAFA TAMBA AKIKARIBISHA WAGENI
DECOR.....
ANWAR AKIFICHULIWA....
  ANWAR AKIWAPA BIBI ZAKE KITOKA UNYUMBA
CHAMPAGNE
BURUDANI
RAHA ORIGINAL WAKITOA BURUDANI
ZAWADI
ANWAR AKIMPA MAMA ZAWADI NI SET YA DHAHABU, MADINI YA UKWEE'E NANI KAMA MAMA??? 
FAMILIA....
CHOZI LILIMTOKA MAMA, SHOGAYE ARAFA TAMBA AKIMFUTA MACHOZI YA FURAHA
SUBIRA JUNIOR WAKIMTUNZA ANWAR
WAALIKWA WAKIRUDISHA BAHASHA ZENYE PESA KWA MAMA MZAZI
SHARIFFA HASHIM
DESIGNER JOKHA SIMBA
JOKHA KABOTOKA
MIZE....
SHANGAZI AKIMPA ZAWADI WIFI YAKE....
SHANGAZI AKIMPA MTOTO WAKE ZAWADI YA MASAFU
ANWAR AKIKABIDHIWA MEZA
RUKIA NA FAMILIA YAKE WAKIMTUNZA ANWAR SHEMEJI YAKE, RUKIA NI MKE MKUBWA
SUBIRA GROUP WAKIOA ZAWADI YAO
SUBIRA JUNIOR GROUP, HAWA NI WATOTO WA KINA MAMA WA SUBIRA GROUP WAKIWATUNZA MAMA ZAO MADIRA
KINA MAMA NAO WAKAWAPA RED ROSE KAMA ISHARA YA UPENDO
WAKWE WAKIPELEKA ZAWADI YA SANDUKU....
HAPANA CHEZEYA WATU NA PESA ZAO BANA, NI KOFIA YA DOLLAR
RAHMA AKIVISHWA TAJI LA DOLLAR $2000
KISHA AKAMUONGEZEA NA POUND
MCHEZO PESA UMEONA EEH NI MADOLLAR, POUND NA WEKUNDU...
PILY AKIMKOSHA RAHMA KISMAT
MAMA MZAZI AKIKOSHWA NA KUFUTWA JASHO
FATHIYA AKIWATUNZA RAHMA KISMAT NA THURAIYA
TATNT AKIMTUNZA RAHMA KISMAT
LAYLAT MWENYEKITI SUBIRA JUNIOR AKITOA ZAWADI YA KEKI KWA MAMA ZAKE WA SUBIRA GROUP
WANA WA SUBIRA WAKIPOKEA CAKE TOKA LAYLAT
SUBIRA GROUP WAKIMKOSHA MWENZAO MAMA MZAZI WA ANWAR
CHAKULA
NYUSO
WANA KIKUNDI WA SUBIRA GROUP SARE PAMBE SANA MNATISHA KWA MAVAZI
BI ZARO,  AKIWA NA MABINTI ZAKE
LAYLAT , THURAIYA & AUNT
MAMA MZAZI WA ANWAR...
MARIMA MNTAMBO
HAWA NA MAMA KIPENZI BIBIE LUMELEZI
RUKIA, AKIWA NA MUME WAKE NA SHEMEJI YAKE BWANA HARUSI
MAMA NA MWANA
KISMAT FAMILY....
DADDY AKIWA NA MDOGO WAKE, MUME WA RUKIA
SUBIRA JUNIOR
ANWAR NA WAZAZI WAKE
DALILAH & RAHMA KISMAT
THURAIYA NA MKWEWE
THURAIYA, MRS KISMAT
SELFIE...... ZIAZAPO!!!
 
ANWAR NA THURAIYA SHEMEJI YAKE
HASINA MOO
SUBIRA GROUP
MARIAM MKWECHE
BI ESHE SURURU
SISTERZ
SHARIFFA HASHIM
DALILAH & FAMILY
AMINA, TANT & FRIEND
MC DALILAH & SHAMIMU
TATU LEMELEZI
RUKIA NA MAMA ZAKE
RUKIA NA MAMA KIPENZI
PILY & RAHMA KISMAT
MASHUGHULI NIKIWA PAMOJA NA KIMAMA WENZANGU, ASANTENI SANA KWA SUPPORT YENU KWANGU SUBIRA GROUP
RED CARPETPost a Comment

4 Comments

 1. Hellen rekebisha hapo kwa bride ni (groom ) kwa money party ya Anwar.... tafadhali inaweza leta mkanganyiko.

  ReplyDelete
 2. Ni groom na si bride

  ReplyDelete
 3. Pale juu mwanzoni kabisa umeandika bride badala ya groom
  Shukran
  Mdau USA

  ReplyDelete