ANWAR & MOZA AQDI!!!!

YES!!!! TULIANZA NA MONEY PARTY NA  LEO  NI AQDI YA ANWAR KISMAT & MOZA ALLY MASHAALAH MAHARUSI WAMEPENDEZA SANA, DRESS CODE YA AQDI IMEZINNGATIWA

DECOR...//
BI HARUSI AKIINGIA UKUMBINI
 MOZA AKIFICHULIWA...
 ANWAR AKIMPA MKONO MKEWE
 DUA...
MAULID
SADAK
ZAWADI
 RAHMA KISMAT MAMA MZAZI WA ANWAR AKIPELEKA ZAWADI KWA MAHARUSI KAMA KAWAIDA YAKE...
NYUSO

RUKIA & THURAIYA
HAWA
RAHMA KISMAT NA WANAWE
 HENNA
MZEE KISMAT
RED CARPET

Post a Comment

0 Comments