HINDU's NIGHT!!!

Bride                      ::Hindu
Groom                   ::Nassor
Venue                    ::Danken House
Event                     ::Hindu’s Night
Makeup                 ::GnG Saloon
Colour                  ::Purple, Yellow, Pink & Blue
Décor                   ::Yahya Decor
Mc                        ::Jamila Kitimtim +255655374440
Photoby               ::Mashughulimedia - +255758266 701/0655426100
YAP!! NI HINDU's NIGHT, HINDU ALIINGIA UKUMBINI NA MUME WAKE BWANA NASSOR KWA SABABU NDOA ILIKWISHA FUNGWA HAPO NYUMA, MASHAALAH COUPLE HIZI UTADHANI WAMECHAGUANA, WAMEENDANA VERY NICE MAKEUP TOKA KWA GNG SALOON, MWANAIMA KATISHAJE FULL HOUSE FURNITURE WAWAKABIDHI HINDU & NASSOR....PICHA NZURI NI KAZI YETU MASHUGHULIMEDIA WASILIANA NASI...

MASHAALAH...!!!
HINDU AKIWA NA MAMA ZAZI MWANAIMA 
GNG WAKIFANYA KAZI YAO
MC-JAMILA KITIMTIM
DECOR.........///
ZAWADI
 SITTING ROOM PURE LEATHER SOFA
BEDROOM SET PAMOJA NA KITANDA
 DINNING TABLE
KABATI LA VYOMBO
SABUFA
 GAS COOKER
WASHING MASHINE
FRIDGE & WATER DESPENSER
MAZAGAZAGA YA JIKONI
 HINDU & NASSOR WAKIINGIA UKUMBINI
HINDU AKIINGIA NA MUME WAKE, NYUSO ZIKIWA NA FURAHA...
 DUA........////
 INTRO.............///
BWANA NASSOR ALISHIKWA NA KIGUGUMIZI KWANZA MASHAALAH MWENYEZI KAKUJAALIA MKE MNZURI SANA...
HINDU ALIMTAMBULISHA KWANZA MUME WAKE, MR. NASSOR
MAMA MZAZI
NILIWAPENDA SANA HINDU NA NASSOR WALIONGEA PAMOJA NA MUME WAKE NA KUFURAI..
WANAPENDANA KWELI KWELI, HII NDIO ILE MAHABA NIUE
CAKE
CHAMPAGNE
HAPPIEST COUPLE
BURUDANI
CHAKULA
ZAWADI
BAADA YA CHAKULA, HINDU ALIINGIA KIVINGINE MASHAALAH!!!
 WAZAZI WALIANZA KUKABIDHI ZAWADI ZAO
BABA NA MAMA WAKIKABIDHI ZAWADI ZAO
BABA MDOGO NA MKE WAKE TOKA MTWARA WAKIKABIDHI HEKA 100 KWA AJILI YA KILIMO
HAFSA AKIKABIDHI KABATI LA VYOMBO
TATU LUMELEZI UKO JUU AKIKABIDHI GAS COOKER YA UKWEE'E
 WAKIKABIDHIWA WASHING MASHINE
MARIAMA BEST AKIKBIDHI ZAWADI YA VYOMBO
HABIBA AKIKABIDHI SABUFA
ZUHURA AKIKABIDHI FENI
MAMA MDOGO SALMA NA KAMPANI YAKE WAKIWATUNZA HINDU & NASSOR MADOLLAR
HAPANA ODO SALMA MAHANSEN DOLLA $2000
 HINDU & MUME WAKE NASSOR NA ZAWADI YA MSWALA 
HINDU AKIMPA MAMA YAKE ZAWADI YA MADINI HAPANA HEZEYA
 UPANDE WA MUME WAKITOA SHUKRAN
 NYUSO
 MWANAIMA, MAMA MZAZI WA HINDU PENDEZA HAPANA CHEZEYA MADINI YA UKWEE'E UNATISHAJE...
 MWANAIMA NA LA AZIZ WAKE WA MOYO, WAZAZI WA HINDU
TANT BOY SUPER STAR NA PAMBE YAKE
HAFSA, MWANAIMA & TATU
MWANAIMA & TATU
TATU & HAFSA
BI MDANGA & DALILAH
NEY & FRIEND
SHOSTITO WA UKWEE'E HAFSA & MWANAIMA MIAKA 100, HONGERA SANA HAFSA KWA ROHO YAKO NZURI...
MAMA MDOGO SALMA MAHANSEN & FRIEND
JOKHA KABOTOKA & FRIENDS
MIZE NA WADOGO ZAKE
TABU & FATMA
HAPANA CHEZEYA RAIS WA VIJORA
MARIAM MNTAMBO & ZAKIA MABOBISHI
SITTU MWASA NA PAMBE YAKE
UNCLE AKIWA NA WADOGO ZAKE HINDU
MWANAIMA MAMA MZAZI WA HINDU AKIWA NA SHEMEJI
RED CARPET

Post a Comment

2 Comments