MARIAM & ISMAIL WEDDING RECEPTION!!!

Bride                     ::Mariam Said
Groom                  ::Ismail Mwenda
Venue                   ::Picolo Beach
Cake                     ::Walis
Event                    ::Wedding Reception
Makeup                ::GnG Saloon
Colour                  ::Yellow, Green & Blue
Mc                        ::Jackson
Photoby                ::Mashughulimedia - +255758266701/0655426100
YES NEW COUPLE HAPA MUJINI, WEDDING RECEPTION YA ISMAIL & MARIAM, MASHALLAH WAMEPENDEZA SANA, SHUGHULI PAMBE YA WAMUJINI WENYE MAJINA YAO!!!!

MC
MAHARUSI WAKIINGIA PICOLO HALL
 WAGENI WAKIKARIBISHWA....KULA, KUNYWA & KUCHEZA "TRIPLE K"
DECOR.....///
 ISMAIL WAKIVISHANA PETE ZA NDOA, EEEH VITAMBULISHO....
 OFFICIAL MR & MRS ISMAIL...
INTRO....///

CAKE
MALIVIDAVI.....
 CHAMPAGNE
BURUDANI
 ILIKUWA NI BURUDANI KWA KWENDA MBELE WAMUJINI KIBAO...
CHAKULA
ZAWADI
PATCHOMWAMBA AKIWAPA ZAWADI YA NYIMBO....
 MARIAM, JUNAITHA & MOHAMED BAH WAMEWAKOSHA MAHARUSI KWA MADOLLAR KWA NIABA YA ROSE A.K.A IRON LADY UMETISHAJE, HAPANA CHEZEYA!!!
WALITAMBAJE
NYUSO
MARIAM PENDEZA EEH!!
MOHAMED BAH....
MARIAM & FRIEND
JUNAITHA & FRIEND
BEST MAN & MATRONE JASMINEAFUA
SALMA MSANGI & JUNAITHA
RED CARPET

Post a Comment

4 Comments

  1. Harusi imependeza sana mashallah na maisha yao yawe hivyo hivyo ya furaha

    ReplyDelete
  2. Wamependeza sana ila wanono duhhh

    ReplyDelete
  3. Very nice wedding,bibi harusi amenuna kidogo and she needs to start going to the gym as soon as she can otherwise mhhh

    ReplyDelete