MARIAM's SINGO!!!!!

Bride                    ::Mariam
Venue                   ::Mango Garden
Cake                     ::
Event                    ::Singo
Colour                  ::Red & Royal Blue
Mc                        ::Jamila Kitimtim
Entertaiment        ::Gusagusa Minband
Photoby                ::Mashughulimedia - +255758266701/0655426100
HAYA WADAU NI SINGO YA MARIAM A.K.A MUM, PENDEZA SANA MAMBO YA MUJINI WATOTO WA JANGWANI WAMSINDIKIZA SOMO UKO JUUU, ISHA MASHAUZI AKAMILISHA KWENYE ZAWADI, PAMBE SHOSTI YAKE MTU JASMINEAFUA UMEMUZAJE SHOGA....

AKIINGIA
MWARI AKIINGIZWA NA SOMO YAKE....
DECOR...../////
MARIAM AKIFICHULIWA MWARI
CAKE
SOMO AKIMLISHA MWARI HAPANA CHEZEYA!!!
BURUDANI
ZAWADI
SOMO NA KAMPANI YAKE AKIENDA KUMTUNZA MWARI...
JUNAITHA, MARIAM PAPIII WAKIMTUNZA SHOSTI...
SUPER STAR ISHA MASHAUZI AKIWASIA AKIWASINDIKIZA PAMBE YA SHANI SIMKOKO....
JASMINEAFUA NA PAMBE YA JANGWAANI KUMTUNZA SHOSTI SHURTI KWA TAJI LA MAUA....PESA ZIMEPAMBWA NA ROSES
NYUSO
SHANI SIMKOKO NA PAMBE YAKE...
MWANZO MWISHO JASMINEAFUA


Post a Comment

0 Comments