MINA's NIGHT!!!!!

Bride                     ::Mina Lumelezi
Venue                   ::Mango Garden
Event                    ::Mina’s Night
Caterer                ::Najma Caterer (Anka Yahya) +255713215615
Colour                 ::Purple, Orange Red, blue  & Pink
Cake                    ::Cakesmakeupfavorboxesdresses
Mc                       ::Jamila Kitimtim +255655374440
Entartainment    ::Raha Original Taarab Live Band - +255717231050
Photoby              ::Mashughulimedia - +255758266 701/0655426100
NI USIKU WA MINA HAPO MANGO GARDEN, SHUGHULI PAMBE ZAWADI ZA KUMWAGA HAPANA CHEZEYA LUMELEZI FAMILY, SOMO TANT BOY NA PAMBE YAKE WAMUINGIZA MWARI, ZAMA NDANI UJIONEEE...

MINA NA SOMO YAKE TANT BOY SUPER STAR
MINA AKIWA NA DADA ZAKE, LUMELEZI SISTERZ FOREVER
MC-JAMILA UKO JUUU!!! TISHA
MINA AKIINGIA.....
MINA AKIINGIZWA NA SOMO & MWENYEKITI WA KAMATI 
DECOR.........////
KAMATI
MWENYEKITI WA KAMATI HAFSA RAMADHANI AKIKARIBISHA WAGENI, MIMI PENDA WEWE SANA HAFSA....
CAKE
 ZAWADI
MINA AKIFICHULIWA
INTRO...///
 BI MKUBWA AKITAMBULISHWA...NA MTOTO WA MINA
MCHUMBA AKIINGIA UKUMBINI
KISHA AKAMPOKEA
 MINA AKIMTAMBULISHA MCHUMBA...
WAKAKATA CAKE PAMOJA....
 CHAMPAGNE
 BURUDANI
 ZAWADI
DADA MKUBWA BIBIE AKITOA ZAWADI
MARAFIKI WA TATU LUMELEZI WALIOSOMA KINONDONI MUSLIM WAKIONGOZWA NA MWAJUMA SARAHAN WAKIKABIDHI ZAWADI
DADA ZAKE MINA WAKIMKABIDHI KITANDA 6X6
HAFSA & MARIAM WAKIKABIDHI ZAWADI
TABIA AKIMKOSHA ODO MINA
SUBIRA GROUP WAKIMKOSHA BIBIE DADA MKUBWA WA AMINA
HAWA AKIKOSHWA NA SUBIRA JUNIOR GROUP
MAMA TAMBA AKIWATAMBULISHA SUBIRA JUNIOR GROUP
SOMO NA PAMBE YAKE WAKITOA ZAWADI
SOMO AKIKABIDHI KABATI NA VYOMBO VYA JIKONI
AMINA MENGI AKIKABIDHI ZAWADI FLATSCREEN
WADOGO ZAKE MINA WAKIMPA ZAWADI
MWAVITA WIFI AKIMTUNZA SOMO
TATU, DADA YAKE MINA AKIMKSIHA SOMO MILLION TATU
HAFSA AKIMKOSHA TATU LUMELEZI
CHAKULA
NYUSO
MAMA NA MWANA
MAMA MZAZI WA MINA
WANA WA SUBIRA GROUP
UBAYA FAMILY
MARIAM & SAADA
MWAJUMA & FRIENDS
MOODY LUMELEZI & FRIEN
BISHARA & FRIEND
SUBIRA GROUP
BI MDANGA & SHOSTI
THURAIYA, MRS KISMAT
AMINA & SHOSTITO
VISURA WA KISMAT....
PAMBE YA SOMO
FATHIYA, LAYLAT & FRIEND
HAPPY & FRIEND
MC MUU & KAMPANI
SALMA & HABIBA
BABILATINO & FRIEND
ZAKIA, KHAIJA & FARIDA
NIMEPENDA NAIJA SWAGGA 
MAMA TAMBA & MARIAM
ZUHURA MARANGIRANGI  SHOSTITO
MWAVITA WIFI YANGU MIE & FRIEND
FATHIYA
HASINA & DAD WAGE
MWANAIDI & SOMO TANT BOY
RUKIA, MRS KISMAT
RED CARPETPost a Comment

2 Comments

  1. Hongera sana Mina umependeza mnooo....tulicheza wote kimamba na kusoma wote karume duh long tym..Wishin u a happy marriage.nimemkumbuka na farida mzaniwa.

    ReplyDelete
  2. HII NI KITCHENPARTY????? AU SENDOFF

    ReplyDelete