MUSTAFA & MARIAM RECEPTION WEDDING!!!!!

Groom                         ::Mustafa Sadick (Bobish)
Bride                           ::Mariam I. Mwanga
Event                           ::Wedding Reception
Venue                         ::Mamba Club Korogwe
Cake                           ::Mama Semkiwa
Makeup                      ::Glory Nicas 
Décor                         ::Mama J4
Groom Dressedby      ::Sheria Ngowi
Bride Dressedby        ::Weddingbells
Color                         ::Maroon, Orange & Yellow
Mc                             ::Richard Kwayu - +255 713 661 101

Music                        ::Dj Baby +255 712 573 317
Still Pics &Video      ::Mashughulimedia - +255655426100/+255758266701
 YEES!! NI HARUSI ILIYOKUWA GUMZO KOROGWE, NI BAADA YA MUSTAFA A.K.A BOBISH KUFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE MARIAM, MASHAALAH MAHARUSI WALIPENDEZA SANA, PICHA ZINASISIMUA, MASHUGHULIMEDIA TEAM TULIFURAHI SANA KUFANYA KAZI NA WANA KOROGWE......!!!!!!!!

MC KWAYU AKIWA NA DJ WAKE MKALI SANA DJ BABY
MAHARUSI WAKIINGI UKUMBINI NAMAIDS WAO
 BWANA HARUSI MUSTAFA AKIWA NA FURAHA ISIYO NA KIFANI ALIINGIA KWA MBWEMBWE ZA KUTOSHA
KISHA AKATOA SHOW UKWEE'E
DECOR...///
KAMATI YA UKWEE'E  IDADI YAO 150000/=
INTRO.......///
 MUSTAFA AKIMTAMBULISHA MKE WAKE KIPENZI MARIAM
 WAZAZI WA BWANA HARUSI MUSTAFA
 MARIAM AKIMTAMBULISHA MUME WAKE MOBISH
 MAMA MZAZI WA MARIAM
MUSTAFA & MARIAM WAKIVISHANA PETE
WAZAZI WAKIONGEA NA MUSTAFA & MARIAM
CAKE
  

 CHAMPAGNE

BURUDANI
DJ BABY KAWAPAGAISHA WANA WA KOROGWE, WAKAGOMA KUTOKA UKUMBINI MPAKA IPIGWE PEPE KALEE
CHAKULA
ZAWADI
 MUSTAFA A.K.A BOBISHI & MARIAM WAKITOA ZAWADI YA PICHA YAO SIKU YA NDOA KWA WATU MAALUM
 MAMA ZAZI WA MARIAM AKIWAPA ZAWADI
 
 WAZAZI WAKIKOSHWA
WAZAZI WAKIKOSHWA NA MAHELA
 MUSTAPHA & MARIAM WAKIMTUNZA MAMA 
MAMA MZAZI WA MARIAM AKITUNZWA
NYUSO
MAMA SALMA MNTAMBO
MAMA MZAZI WA MUSTAPHA

  
MAMA SALMA MNTAMBO
 
ME & MAMA SALMA MNTAMBO
RED CARPET

Post a Comment

2 Comments

  1. Wooow it was amaizing one,,,,,, everybody looks perfect,,,, congratulations Mr n Mrs Mustafa

    ReplyDelete
  2. harusi nzuri watu pendeza sana........HELLEN MASHUGHULI OMBI LANGU KWAKO"NAOMBA KTK MAANDISHI HAPO JUU UTUMIE RANGI ZINAZOONEKANA MFANO HIYO NJANO KWA WENYE UONI KAMA WANGU HAWAWEZI KUSOMA.....asante sana na kzi yako ni Guuuudoooo

    ReplyDelete