MWANAHAMIS's KITCHEN PARTY

Bride                     ::Mwanahamis
Venue                    ::Lulu Hall
Event                     ::Kitchen Party
Caterer                 ::Talma Caterer
Colour                  ::Red & White
Makeup                ::GNGmakeup
Mc                        ::AnnaMary - +255713670222
Music                   ::Dj Baby
Photoby               ::Mashughulimedia - +25575826 701/0655426100
YES NI KITCHEN PARTY YA MWANAHAMIS, A.K.A MWANA PENDEZA SANA MAKEUP ON POINT, DRESS CODE NGUO NYEUPE WATU WASAFI, NI WALE MAAGENT WA BANDARI ILICHANGAMKAJE, MC ANNA AKIONGOZA HUKU AKIENDA NA MUDA....

SASA HIVI MASHUGHULI TUNAPIGA PICHA ZA ALBAM NA VIDEO KAZI ZETU NI NZURI KAMA MNAVYOONA UNAWEZA KUBOOK SHUGHULI YAKO NA SISI TUPIGIE +255655426100/758266701
MAMA NA MWANA MASHAALAH
 MWANA NA MASHOSTITOS
MWANA AKIINGIA UKUMBINI PAMBE SANA
MC-ANNA
AKIONGOZA KWA VUNZURI HUKU AKIJALI MUDA, NAPENDA SANA, SAA NNE KAMILI TUMEMALIZA SHUGHULI SHE IS GOOD!!! KEEP IT UP GOOD JOB
MAWASILIANO YAKE: +255 713 670 222
INTRO....///
BEAUTIFUL MWANA...
DECOR.....///
PAMBE YA KAMATI...HAPANA CHEZEYA
FICHUA MWARI
CAKE
 CHAMPAGNE
 PICHA ZINAONGEA ZAIDI....
BURUDANI
DJ BABY KIBOKO YA BURUDANI, MAAGENT WANAPENDA SANA KUCHEZA HUYU NDIO AFAAA NAMUAMIN SANA TU...
CHAKULA
 ZAWADI
MAMA AKIKABIDHI KAPU LAKE
MAAGENT WA BANDARI WAKIMKOSHA MWANA.... 
SARAH NA WENZAKE MAAGENT BANDARI WAKIKABIDHI GAS COOKER
DADA AKIMUNZA MDOGO WAKE MADINI, BAADA YA KUKABIDHI ZAWADI KWENYE PROJECTOR BEDROOM SET...
DADA AKIMTUNZA MDOGO WAKE
MWANA AKIMTUNZA MAMA
DADA AKIKOSHWA.....
NYUSO
JOYCE
MAMA MZAA CHEMA
SARAH HAPO KATI..... & MWANA
LILIAN & ANNA BESTIES
MY SHOSTI MWANAIDI WA UKWEE'E & FRIEND
SALMA & GETU
MY COMING BRIDE....
LADIES....!!!!
JOYCE & MWANA
MWANA NA WAZAZI WAKE....
RED CARPET
ME & COMING BI HARUSI....
MIMI HUYO NA DADA YANGU, HALIMA ALINIPOKEA KAZINI PALE TITCS LOVE YOU DADA....USIYE NA MAKUUU
NIMEVISHWA NA HALIMA KAMUSI HK's COLLECTION HII CHANGA DRESS VIPANDE VYA VITENGE VIMEUNGANISHWA NA KUSHONWA NGUO KAMA HII NIMEIPENDA SANA MPIGIE +255715555525

Post a Comment

0 Comments