SITTI ABAS MTEMVU KUZINDUA TV TALK SHOW, KITABU CHOZI LA SITTI & SITTI FOUNDATION!!!!

ALIYEKUWA MSHINDI WA TAJI LA MISS TANZANIA MWAKA 2014-2015  KABLA YA KULIVUA TAJI HILO MALKIA SITTI ABAS MTEMVU, SITTI AMBAYE TAREHE 02/05/2015  ANATARAJIA KUZINDUA KITABU CHAKE CHA CHOZI LA SITTI, TV TALK SHOW,  PAMOJA NA FOUNDATION YAKE INAYOJULIKANA KWA JINA LA SITTI FOUNDATION AMBAYO MPAKA SASA IMESHAFIKA ZAIDI YA MIKOA 10 HAPA NCHINI HUKU LENGO LA KUFUNGUA FOUNDATION HIYO NI KUWEZA KUSAIDIA WATOTO WANAOISHI KWENYE MAZINGIRA MAGUMU PAMOJA NA WALEMAVU, PIA ANAMPANGO WA KWENDA KUKITANGAZA KITABU HICHO  KIMATAIFA NA AMEPANGA KUANZIA NA NCHI YA IVORY COST

SITTI ABBAS MTEMVU
SITTI ALISINDIKIZWA NA MAMA YAKE MZAZI MARIAM MTEMVU NA MANAGER WAKE MATUKIO

Post a Comment

0 Comments