SITTI TANZANIA FOUNDATION 2015 INAKULETEA – Chozi la Sitti, ONJA SIMULIZI ZA KITABU

ZILIKUWA SIKU THELATHINI (HAIYUMKINI KANA KWAMBA NI ZILIZOZIDI MASAA YA KAWAIDA YAZUNGUKAPO BILA KUBAINI) ZILIZOJAA MAJUTO, MAUMIVU MAKALI YASIYOMITHILIKA WALA KUELEZEEKA. NILIJIULIZA KWA NINI? NILIJIONA KANA KWAMBA THAMANI YA UTU WANGU IMETOWEKA, NILIOMBA MUNGU USIKU NA MCHANA INGALI NIKISHINDWA HATA MANENO YA SALA. BONYEZA KITUFE KUSOMA ZAIDI

MAJUTO NI MJUKUU NA INGALI YA JANA KAMWE HAIWEZI KUWA KESHO, ACHILIA MBALI YA LEO. NIMEAMKA KWANI NATAMBUA KUNA MAELFU, MAMIA ELFU AMA HATA MAMILIONI DUNIANI KOTE WAPITIAO MAKUBWA ZAIDI YA YANGU YALIYOJIRI, 
NIMEMAMUA, NIMEKATA SHAURI, NIMESIMAMA NIMEFUTA CHOZI, SITAISHI KWA KUWAZA IKIWA KAMA NI NJOZI;
'NIMEAMUA KUPAZA SAUTI, NIMEAMUA KUWA NA SAUTI'
HAYA NI MACHACHE YA KATIKA KITABU CHAKE KIYA KIKIITWA - CHOZI LA SITTI.....KWA NINI UKOSE KUWA SEHEMU YAHISTORIA?
02-05-2015 KUANZIA SAA MOJA USIKU @MLIMANI CITY CONFERENCE HALL....PAA TIKETI YAKO SASA: 0685 01 07 17

Post a Comment

0 Comments