CATHERINE's MASAI MAHARI!!!!!

Bride                              ::Catherine (Mchichi)
Event                             ::Mahari
Venue                            ::Arusha (Mama Lema Residential)
Makeup                        ::American Nails &Hair Saloon-+255789258240
Color                            ::Red, Purple, Blue & White                  
Photoby                        ::Mashughulimedia - +255655426100/758266701
YAP!!! HOW LOVELY IS THIS MAHARI YA KIMASAI, FAMILIA WALIVAA KIMILA MPAKA MCHUMBA MCHICHI PENDEZA SANA, NI TEAM YA REAL FRIENDS TOKA DAR  WATIA TEAM ARUSHA KUMSUPPORT SHOSTITO...THANK YOU MISHY & YOUR FRIENDS KWA KUTUMBUA KAZI YETU MASHUGHULIMEDIA TOKA DAR TO ARUSHA

MAKEUP BY AMERICAN NAILS SALOON
NAILS BY DIANA AMERICAN NAILS, 
DECOR......////
 
 CHAMPAGNE
ANGEL, MCHICHI SISTER AKIFUNGUA CHAMPAGNE

WAZAZI WAKIPEWA MAHARI YAO
UKIFIKA MUDA WA MCHUMBA KUTOLEWA NJE
MCHICHI AKISALIMANA NA MCHUMBA WAKE
MCHICHI AKIWA NA MCHUMBA WAKE MJUNI
 BURUDANI
CHAKULA
NYUSO
MCHICHI AKIWA NA COSMAYA, MKE WA MH. MBUNGE WA ARUSHA
ANGEL PENDEZA SANA
MARY & MAMA MREMA 
SISTERS MCHICHI & ANGEL
SISTERS MCHICHI & ANGEL
COSMAYA MKE WA MBUNGE WA ARUSHA & MCHICHI
 RED CARPET


Post a Comment

2 Comments

  1. Imependeza, mbona hujatutambulisha wazazi wa Mchichi ni wepi na wazazi wa Mjuni ni wepi? Uyo dada alieshika kibuyu ni Saida Kanyau?

    ReplyDelete
  2. Mbunge wa sasa wa Arusha ni Godbless Lema mpenzi Mrema alishaacha muda mrefu mnooooooo anajulikana Lema sana Arusha

    ReplyDelete