CATHERINE's SENDOFF PARTY!!!!

Bride                              ::Catherine (Mchichi)
Event                             ::Sendoff Party
Venue                           ::The New Arusha Hotel
Décor                            ::Cocopazo
Makeup                         ::American Nails &Hair Saloon-+255789258240
Color                             ::Mix Colours
Mc                                 ::Jamila Kitimtim                
Photoby                         ::Mashughulimedia - +255655426100/758266701
HAYA HAYA WADAU KILE KIU LEO KINAKWISHA...., NI BAADA YA MAHARI YA CATHERINE A.K.A MCHICHI LEO NI SENDOFF PARTY HAPA ARUSHA TOWN, MMMH!! SHUGHULI PAMBE KWA SANA MNATISHA SANA KAMATI YA UKWEE'E, SHUKRANI WANA KAMATI KWA KUTAMBUA KAZI YETU MASHUGHULIMEDIA TEAM TOKA DAR TULIINGIA ARUSHA TOWN KWA PICHA & BLOGGING, PIA SHUKRAN KWA COSMAYA MKE WA MH. MBUNGE ARUSHA KWA MAPOKEZI MANZURI, TUKIONGELEA NAIJA SWAGA HAPA NI KIKOMO NISIONGEE SANA ZAMA NDANI KUJIONEA

NEAT & CELAN I LOVE THIS SWAGA
MC-JAMILA TOKA DAR
MCHICHI AKIINGIA
 MCHICHI ALIINGIZWA NA MORANI NA YEYO KWA NGOMA YA KIMASAI
 SALA
DECOR.....///
KAMATI
ILIYOSABABISHA SHUGHULI PAMBE SAANA TU
MWENYEKITI WA KAMATI COSMAYA, MKE WA MH. MBUNGE WA ARUSHA AKIKARIBISHA WAGENI......YOUR SO SWEET!!!
INTRO.....///
MCHICHI AKIVISHWA PETE NA MCHUMBA WAKE MJUNI
 MJUNI AKIPELEKWA KUVISHA PETE....
 WILL YOU MARRY ME....!!! YES I DO...
CAKE
 
SOMO AKILISHWA CAKE
 CHAMPAGNE
 
 
BURUDANI
CHAKULA
MWENYEKITI WA KAMATI COSMAYA & SHARIFA WAKIKAGUA CHAKULA, BYTHEWAY THE FOOD IS DELICIOUS!!! 
ZAWADI
DADA ANGEL & ELIZA WAKIMKOSHA MDOGO WAO HAPANA CHEZEYA BUSINESS WOMEN MKO JUUU
COSMAYA, MKE WA MH. MBUNGE WA ARUSHA AKIENDA KUMPA CHICHI ZAWADI NA NGOMA YA KIMASAI 
COSMAYA AKIKABIDHI ZAWADI NI MADINI, NDIO KAWAIDA YAKE...
ZAWADI YA COSMAYA
MISHY AKIMTUNZA MCHICHI
MISHY & JAMES WAKIMPONGEZA MCHICHI, SHUGHULI NDIO KWANZA INAANZA...
COSMAYA AKIPEWA ZAWADI
MISHY AKIPEWA ZAWADI YA KITENGE
JAMILA AKIPOKEA ZAWADI YA SOMO SAIDA
MCHICHI AKIMPA MCHUMBA WAKE ZAWADI
NYUSO
JAMES & MISHY OWNER OF J & M VIRGO BOUTIQUE
MISHY,.....
SINYAA...
PENDEZA SANA NANA & SHOSTITO
MARIAM, MAYMUNER & SAIDA
MCHUMBA MJUNI 
JAMES & TINDWA
RADHIA & FRIEND
NASSOR & HUBBY WAKE, ILIKUWA RAHA KUONANA NAYE LONG TIME BRO!!
DIANA, DIRECTOR OF AMERICAN NAILS & HAIR SALOON, MAKEUP ARTIST WA MCHIMCHI
ANGEL, SHILLA, ZAKIA & COSMAYA
SHILLA, ZAKIA & COSMAYA
COSMAYA, MKE WA MH. MBUNGE WA ARUSHA 
MARY
SAIDA SOMO YAKE MCHICHI
ANGEL & MARY
RADHIA & FRIEND
MCHICHI ,ANGEL (DADA) & FRIEND
KWA RAHA ZAO....
SAIDA, MJUNI & FRIEND
PENDEZA KWA SANA
MARY, ZAKIA & MJUNI
SOMO NA MWARI
DESIGNER ASYIA ALIHUSIKA KUFUNGA GELE...
MCHICHI & SHANGAZI
RED CARPET
MCHICHI NA SOMO YAKE SAIDA...
 
THANK YOU MY ANGEL, ME & YOU GOD KNOWS!!!!


Post a Comment

1 Comments

  1. Mchichi kapendeza sana, kila kheri mamii......also matron wake mependeza ktk kila picha, she is really photogenic...!!!!

    ReplyDelete