LEO NDIO LILE CHOZI LA SITTI!!!

SIKU IMEWADIA, LEO NDIO LEO PALE MLIMANI CITY CONFERENCE HALL, SITTI ABAS MTEMVU AKIMWAGA CHOZI LAKE , RED CARPET 360 DEGREE IMEANDALIWA KWA AJILI YAKO, YA MOTO BAND WAKITUBURUDISHA, MBATAZAJI & THE PRODUCERS WAKINOGESHA NI BAADA YA KULA DINNER NA SITTI
HUJACHELEWA BOOK TIKETI YAKO KUPITIA NO.: +255 685 010 717
MASHUGHULIMEDIA OFFICIAL PHOTOGRAPHER

Post a Comment

0 Comments