MASHAVU's HENNA PARTY!!!

Bride                              ::Mashavu
Event                             ::Henna’s Party!!!
Venue                            ::Kitunda
Makeup                         ::
Color                            ::Brown, Green & Black                  
Photoby                        ::Mashughulimedia - +255655426100/758266701
YES!!! NI HENNA PARTY YA MASHAVU A.K.A MASHA, NI KITU KIDOGO LAKINI KITAMU NA PENDEZA SANA, MASHALLAH!!! MASHA NA SOMO YAKE PAMBE JOKHA WA TABATA, NGOMA YA WARUMBA WAKITOA BURUDANI.....

 MAMA NA MWANA
JOKHA NA MWARI WAKE, HAPANA CHEZEYA PAMBE TU...
MASHAVU AKITOLEWA NJE....///
MWARI AKIFICHULIWA...
MAMA AKIMFICHUA BINTI YAKE
 MASHAVU AKIPAKWA HENNA NA MGOMA YA WARUMBA IKENDELEA..
HENNA YA MWARI
 
CHEUSI MAMA YAKE MASHAVU ALITAMBAJE.....
MWARI AKIPAKWA HENNA KAMA ADA...
WARUMBA ENYAAA.....NAMUONA MAMA YANGU NYAKANGA WA MANYAKANGA MWANAHAMIS CHAMUGANDA
SOMA JOKHA WA TABATA, AKITAMBA NA MWARI WAKE
NYUSO
CHEUSI MAMA MZAZI WA MASHAVU & FRIEND
MAMA MZAA CHEMA

Post a Comment

10 Comments

 1. Kapendeza Mashaalah, sare pia nzuri. lakini mbona hamna mambo ya nyamnyam?

  ReplyDelete
 2. wamependeza sanaa

  ReplyDelete
 3. bi harusi alipambwa wapi

  ReplyDelete
 4. mashaalahu bi harusi kapendeza sana aliyempamba tunaomba namba yake

  ReplyDelete
 5. wamependeza sana, its hinna party lakini bibi harusi alikuwa na hinna tayari, halafu mashughuli unapenda kuita MWARI, hivi ni MWARI au MWALI ? maybe you are right, I hope Mashavu has a second name too..

  ReplyDelete
 6. ni MWARI sio MWALI....

  ReplyDelete
 7. MWARI ndio sahihi na sio MWALI, hii inatokana na wake wanaoshindwa kutamka R na Badala yake hutamka R

  ReplyDelete
 8. kwani jina la Mashavu halifai mpaka awe na jina la pili? Hongera sana kwa kudumisha mila bila kusahau kuandika Mashavu umependeza sana

  ReplyDelete
 9. maishallah hina imependeza mungu akujalie ndoa ya furaha

  ReplyDelete
 10. Mashallah bibi harusi alipendeza mno

  ReplyDelete