MAZISHI YA SHEIKH OMAR ALHAD!!!

PICHA ZA MAZISHI YA SHEIKH OMAR ALHAD, MTUNZI WA WIMBO “ASIYEKUJUA HAKUTHAMINI” WA MASHAUZI CLASSIC, SHEIKH OMAR ALHAD (PICHANI JUU), SHEIKH OMAR ALHAD AMBAYE PIA ALIKUWA NI IMAM MSAIDIZI WA MSIKITI WA KICHANGANI MAGOMENI JIJINI DAR ES SALAAM. WAKAZI WA JIJINI LA DAR ES SALAAM WALIJITOKEZA KWA WINGI KUMZIKA SHEIKH OMAR ALHAD, RAIS MSTAAFU ALLY HASSAN MWINYI ALISHIRIKI NA WANANCHI KATIKA MSIBA – SHUKRAN PICHA TOKA KWA BRO/MDAU NASSIR MMOKO/BABILATINO/JAFFAR

 


Post a Comment

3 Comments

  1. MOLA AKUWEKE PEMA PEPO NI UMEZIKWA MASHAALLAH .WEWE MBELE YETU SIE NYUMBA YAKO.ULALE PENYE PEPO ISOSIMULIKA. WALAZE PEMA NA WAZAZI WANGU NA JANII YOTE ILOTANGULIA

    ReplyDelete
  2. MOLA AKUWEKE PEMA PEPO NI UMEZIKWA MASHAALLAH .WEWE MBELE YETU SIE NYUMBA YAKO.ULALE PENYE PEPO ISOSIMULIKA. WALAZE PEMA NA WAZAZI WANGU NA JANII YOTE ILOTANGULIA

    ReplyDelete
  3. Waina lillah waina rajiuni allah akujalie pepo yake

    ReplyDelete