MOSSY & AZIZ AQDI!!!

Groom                  ::Aziz
Bride                    ::Mossy
Event                    ::Muslim Aqdi
Color                    ::Green & Yellow
Venue                   ::Al hilal
Makeup                ::Laviemakeup
Photoby                ::Mashughulimedia - +255655426100/758266701
  YES, NI ILE NDOA YA MOSSY & AZIZ, MASHALLA MAHARUSI WAMEPENDEZA SANA NIMEPENDA RANGI YA NGUO YA BI HARUSI, FLAWLESS MAKEUP YAKE IMETULIA, KAZI NZURI YA LAVIEMAKEUP

ALLA BARIK
 
DECOR.....///
BI HARUSI AKIINGIA UKUMBINI
BWANA HARUSI AKIINGIA UKUMBINI
BWANA HARUSI AKIMMPA MKONO MKEWE MOSSY
MOSSY & AZIZ WAKIVISHANA PETE
MAULID
NYUSO
WEDDING SELFIE
MWARI NA SOMO HAPPY BAGHDELA
 JASMINE UMEKUWA MASHALLA
MAHARUSI NA WADOGO ZAO, WATOTO WA MAREEMU SALAMA

Post a Comment

5 Comments

 1. Mashaallah ulipendeza mossy.nimekukumbuka mdogo wangu enzi za wal ul asri kibaha.Inshaallah Allah awajaalie muwe na ndoa ya kusikilizana

  ReplyDelete
 2. MASHALLAH, MASHALLAH MASHALLAH, BI HARUSI NA WAGENI WOTE MMEPENDEZA MNO. MAKE UP ON POINT

  ReplyDelete
 3. Mashallah bi harusi kapendeza,so cute

  ReplyDelete
 4. Bi harusi ni mrembo,NIMEKUKUBALI UNA POZI LA PICHA ILE MBAYA!!!! MUNGU AKUJAALIE KTK NDOA YAKO IWE NA AMANI NA UPENDO. INSHA ALLAH.

  ReplyDelete
 5. Make-up ni nani jamani?

  ReplyDelete