SITTI AKIWA NA ASHANTI IVORY COST!!!

Sitti akiwa na  Ashanti wakati alipokuwa Ivory Coast, Novemba 2014. Sitti alialikwa kama mmojawapo wa wageni Maalum Kufahamu haya na mengineyo, jongea Tarehe 02.05.2015 Naaaaaam Jumamosi hii, palepale Mlimani City Conference Hall kuanzia saa moja kamili jioni 50,000TZS VIP & 100,000TZS huku chakula huku vinywaji barIdiiiiiiiiiiiiiiii. Tukishalimwaga Chozi halafu Yamoto yao bendi itatumbuiza na Mbatizaji na The Producers nao shoo watanogesha
Book tiketi yako kupitia namba +255 685 010 717

Post a Comment

0 Comments