UMMY SENDOFF PARTY!!!!

Bride                             ::Ummy
Event                             ::Sendoff Party
Venue                            ::Maratha Hall
Décor                             ::
 Makeup                        ::Jojo Makeup
Cake                              ::
Color                             ::Red,  Royal Blue & Yellow
Photoby                         ::Mashughulimedia - +255655426100/758266701
 YES NI SENDOFF YA UMMY, BINTI MREMBO PENDEZA SANA, SHUGHULI PAMBE KWA SANA, HAPANA CHEZEYA SOMO MWANANA MANZI UKO JUU, KAMATI YA UKWEE'E

 
 
SHOSTITOS
UMMY AKIINGIA UKUMBINI
DECOR...///
  ZAWADI
KAMATI
MWENYEKITI WA KAMATI
INTRO....///
 CAKE
 SOMO NA PAMBE YAKE WAKIPEWA KEKI
 CHAMPAGNE
UMMY AKIMTAFUTA MCHUMBA
HAKIMVISHA MCHUMBA MADINI MADINI
 KITU MADINI.....
MAHABA NIUE EEH!!!
UMMY NA BABY AKE
CHAKULA
BURUDANI
ZAWADI
SOMO ALIANZA KUMTUNZA MAMA MZAZI

SOMO YAKE UMMY MWANANA MANZI AKIKABIDHI ZAWADI VYOMBO VYA JIKONI UKO JUU SOMO VYOMBO VYA UKWEE'E
 
UMMY AKIKOSHWA NAONA ONA SURA ZA WANA WA BANDARI
 KAMATI IKIKABIDHI ZAWADI YA SOFA ZA UKWEE'E HAPANA CHEZEYA
UMMY AKIMKOSHA SOMO YAKE MWANANA MANZI, SOMO WA UKWEE'E SOMO WA MAENDELEO.....
 
UMMY AKITOA ZAWADI
UMMY AKIMTUNZA MAMA MZAZINYUSO
 MAMA MZAA CHEMA
MWANAIDI MDAU WANGU WAUKWEE'E HAPO KATI & FRIENDS
RED CARPETPost a Comment

6 Comments

 1. Hongera .
  bi harusi ana rangi ya mama yake mashaallah .
  kila la kheri

  ReplyDelete
 2. Jonglera sana kila la KHERI mamy
  anony umegundua hiloo
  Dar wote weipe

  ReplyDelete
 3. maishallah allah akujalie kila lenye kheri

  ReplyDelete
 4. Dada Hellen naomba kujua huu ukumbi upo wapi? please nijibu

  ReplyDelete
 5. kapendeza sana mungu amtangulie.jamani ukumbi mzuri sana uko wapi ?

  ReplyDelete