WAHIDA"S KITCHEN MADA!!!!

Bride                             ::Wahida Juma
Event                             ::Kitchen Mada
Venue                           ::Water Front
Décor                            ::
 Makeup                       ::Twaiba Classic Centre
Cake                             ::
Color                            ::Hot Pink, Blue, Yellow
Photoby                        ::Mashughulimedia - +255655426100/758266701

WAHIDA ISLAMIC KITCHEN MADA, YES NI MAADILI MEMA APATAYO BI HARUSI TOKA KWA WANA FAMILIA NA MARAFIKI, MASHAALAH BI HARUSI KAPENDEZA HAPANA CHEZEYA TWAIBA CLASSIC CENTRE KAMGARISHAJE ZAMA NDANI KUONA ZAIDI
MAMA NA MWANA....
WAHIDA NA WIFIS
MC
DECOR......
BI HARUSI AKIINGIA
MAMA AKIINGIA NA PAMBE YAKE
 CAKE
BURUDANI
CHAKULA
ZAWADI
SOMO AKIKABIDHI ZAWADI
MAMA AKIKABIDHI SET YA BEDROOM YA BINTI
MASAUNDUKU YA UKWEE'E YAKISASAMBULIWA
MAWIFI WAKIENDA KUTUNZA
MAMA AKIFUTWA JASHO
SOMO NA PAMBE YAKE WAKIMKOSHA MAMA MZAA CHEMA
WAHIDA AKIMTUNZA MAMA YAKE
KISHA AKAMTUNZA MAMA YAKE SET YA DHAHABU YA UKWEE'E
MAMA AKIWAKOSHA SOMO NA PAMBE YAKE
NYUSO

MIZE & JOHA KABOTOKA

Post a Comment

3 Comments

  1. maishallah allah akuzidi kukupa kheri tupu, akufanyie wepesi kwa kila jambo jema linalompendeza yeye inshallah

    ReplyDelete
  2. mashaallah......

    ReplyDelete
  3. mash Allah.mungu akujalie ndoa ya heri.

    ReplyDelete