BABY SALHIA's MAULID!!!

 NI MAULID YA BABY SALHIA  NA SHEREHE YA KUTOKA 40 ASHA TOM, HAPO KIGAMBONI, HAPANA CHEZEYA WANA WA JANGWANI SARE PAMBE SANA...MAULID YAMEFANA KISAWASAWA, ASHA KATUNZWAJE NA MUME WAKE SALIM...

LA FAMILY PICTURES FIRST
ASHA NA MUME WAKE SALIM
 DAD & LITTLE BABY SALHIA
UTAFIKIRI NDOA EEH!!!
MAULID
MTOTO AKITOLEWA NJE
ASHA AKITUNZWA NA MUME WAKE SALIM
PENZI PENZINI
ASHA AKITUNZWA
CHAKULA
ASHA AKITUNZWA NA MASHOSTITOS
FARIDA TOM AKIMTUNZA DADA YAKE
HUSNA MADENGE AKIMTUNZA ASHA
MWANAISHA MASSANGA AKIMTUNZA ASHA
MWARI AKIMTUNZA SOMO
 JASMINE AKIMKOSHA NDUGU YAKE
 SABRINA MWARI WAKE AISHA MASHAUZI AKIMPA ZAWADI BABY SALHIA
 SALIM AKITOA SHUKRAN
 NYUSO
 WATU WA KUJINI NA SARE YAO PAMBE KWA SANA
 HAFSA & FATMA
 MASHUGHULI NIKIFANYA KAZI YANGU NAIPENDAJE SASA
 FARIDA TOM PENDEZA SIKWEZI
 MWARI NA SOMO
 HAFSA & MY DADA TATU LUMELEZI
 TABU MABOBISHI
 MY SHOSTI KITENGE WA UKWEE'E
 SELFIE
 ZUHURA MARANGIRANG NA KAMPANI YAKE YA UKWEE'E
 LATIFA & FRIENDS
 SHEIKH MUHANDO & ASHA TOM
 TATU & HAWENA
 FARIDA & JASMINE

 HUBBY AKE ASHA....MASHAALAAH UMEJAALIWA MUME MWENYE ROHO NZURI
RED CARPET

 MWARI WAKE AISHA MASHAUZI, MASHAALAH MTOTO ANA 


Post a Comment

7 Comments

 1. Yasmin swaleh, na farida Tom, sijawaona kama miaka 20 hivi, bado mpo jangwani??

  ReplyDelete
 2. ni kweli Salim ana roho nzuri sana niliwahi fanya naye kazi Bhuto Group of Comapny. Allah azidi kukufungulia kila lenye kheri nawe

  ReplyDelete
 3. Nice home! Wamependeza!

  ReplyDelete
 4. Maashallah, Mzazi kajaaliwa ni mrembo Mungu amjaalie na watoto wake.

  ReplyDelete
 5. Mashaallah shughuli pambe, Allah awakuzie kwenye maadili ya dini mtotot wenu.

  ReplyDelete