FLORA's SENDOFF PARTY!!!!

Bride                              ::Flora
Event                             ::Sendoff
Venue                            ::Imasco Hall
Makeup                         ::Gng Saloon
Cake                              ::
Color                             ::Red, Blue & Yellow
Photoby                         ::Mashughulimedia - +255655426100
YES NI SENDOFF PARTY YA UKWEE'E YA MWANADADA FLORA, PENDEZA SANA BI HARUSI MWENYE FURAHA ISIYO NA KIFANI SHEREHE ILIYOKUWA NI KATA MTI PANDA MTI NA KUCHEZA TU, HAPANA CHEZEYA MC ANGELA BONDO, ZAMA NDANI KUONA

MC
 MAMA ZAZI NA DADA ZAKE FLORA WAKIINGIA
FLORA AKIINGIA UKUMBINI....
SALA....
KAMATI
 INTRO........
FLORA AKIINGIA NA NGUO YA PILI...
CAKE
 CHAMPAGNE
NASAHA....
BURUDANI
FLORA AKIMTAMBULISHA MCHUMBA...
AKAMLISHA NDAFU
CHAKULA
 ZAWADI
MAMA MZAZI AKIKABIDHI ZAWADI YA KIWANJA ARUSHA
 WAFANYAKAZI WENZAKE JOYCE TOKA BANDARI WAKIMTUNZA FLORA MAHELA $8000
 JOYCE AKIKOSHWA
 DADA JOYCE AKIMTUNZA MDOGO WAKE FLORA
 WAKWE WAKITOA MAHARI
 NYUSO
MAMA MZAZI
RED CARPET


Post a Comment

6 Comments

 1. Nyusoo ZA FURAHA MPK rahaa
  NGUO YA cream ilimpendezaaaa sanaa
  MWANAUME hakuvaliswa kiharusii UTADHANI geni WA Kawaida shatii kubwa NA Rang imepoteza Mvuto
  Mungu AWE nanyi
  WADADA Msoolewa msikate tamaa
  Tulieni NDOA ni Majaliwa

  ReplyDelete
 2. Mlavumbi OrijinoJune 30, 2015 at 4:10 PM

  Mchumba mbona haonekani

  ReplyDelete
 3. Hongera sana dada Flora, umependeza sana na unaonekana mwenye furaha sana. Mwenyexi Mungu akubariki na kukuongoza unapoanza maisha yako mapya. Beautiful pictures. love from Houston.

  ReplyDelete
 4. Herehe pambe sana nimependa bi harusi kachangamka sana sana.Kwa kweli usikate tamaaa maishani ujui kesho yako mungu ambariki na kuilinda ndoa yake

  ReplyDelete
 5. NGUO YA CREAM ILIKUWA NZURII SANA....ALL IN ALL ILIPENDEZA

  ReplyDelete
 6. Kweli hakuna kukata tamaaa..... kwa mwanamke kutokuolewa unaweza ukampata tuu kama flora alivyojipatia. lila la heri my dia

  ReplyDelete