FRED's BAG PARTY!!!!

Bride                             ::Fred Katembo
Event                             ::Bag Party
Venue                           ::Heineken Hall-Mtoni Kijichi
Cake                             ::
Color                            ::Red, Green & Yellow
Photoby                       ::Mashughulimedia - +255655426100/758266701
YES!!! NI KITCHEN PARTY YA KIJANA MTANASHATI FRED, MTOTO WA HIDAYA ASPRO, DADA YAKE LINDA & CESSY, HAPANA CHEZEYA SIMPLE & NICE

 SWAGGAZ
MC-MUU HAPANA CHEZEYA
DECOR....///
WAKIINGIA
 MAMA MZAZI AKIINGIA UKUMBINI 
 FRED AKIINGIA NA KAMPANI YAKE
 DUA
INTRO.....
FRED AKIMTAMBULISHA MAMA YAKE KIPENZI, MAMA RAFIKI ALIYEMJENGA MPAKA LEO TWAMUONA HIVI, LOVELY
MAMA MZAZI WA FRED HIDAYA AKIWASHUKURU WAALIKWA KWA KUMKIMBILIA BILA KUJALI UMBALI....
 CAKE
 
CHAMPAGNE
FRED AKIGONGA GLASS NA MAMA YAKE KIPENZI
BURUDANI
 RAHA ORIGINAL LIVE....
 BAIKOKO
 KWAITO
CHAKULA
ZAWADI

CESSY AKIMTUNZA KAKA YAKE
CESSY AKIMKOSHA MAMA YAKE MZAZI
WA MUJINI WAKIENDA KUMKOSHA HIDAYA
SHUU AKIENDA WAKOSHA FAMILIA YA HIDAYA WOTE HAPANA CHEZEYA
WANA KIKUNDI WA KWANZA WAKIKABIDHI 1 MILLION
DA HIDAYA UMEKOSHWAJE  MILLION KWA MILLION, HAPANA CHEZEYA WENYE MAJINA YAO MJINI
WANAKIKUNDI WAKIKABIDHI MILLION MOJA
ODO AKE FRED AKIKOSHWA
HIDAYA NA MDOGO WAKE WAKIKOSHWA
HIDAYA AKIKOSHWA NA MDOGO WAKE
CESSY AKIKOSHWA MDOGO WAKE FRED
 
NYUSO
HIDAYA ASPRO, MAMA MZAZI WA FRED 
MAMA NA MWANA
FRED & LINDA
KAUNDIME & FRIEND
SHUU & FRIEND
MIZE, HIDAYA MCHOWELE & FRIEND
MAHATA...
ASHA
JOHA KABOTOKA
RED CARPET
 


Post a Comment

5 Comments

 1. Dada hellen badilisha hapo kwenye bride iwe groom

  ReplyDelete
 2. Make up ka wazim

  ReplyDelete
 3. Tunaomba utltee picha za mchumba wake na fred, happy tuone alivyopndeza jmni

  ReplyDelete
 4. weeweeeeee watu walipendezajeeeeeeeeeeeeeeee

  ReplyDelete