JAYDEN's 1ST BIRTHDAY PARTY!!!

JAYDEN's 1ST BIRTHDAY PARTY, YA UKWEE'E AKIWA NDANI YA SWAGGA ZAKE ZA SUPERMAN PENDEZA SANA, HAKIKA WATOTO NI SEHEMU YA KURAHIA MAISHA YETU...

JAYDEN & MUM AKE...
FACE PAINTING, WATOTO WALICHORWA NYUSO ZAO
CAKE & CHAMPAGNE
MAMA YAKE JAYDEN AKIMPA CHAMPAGNE NI ILE ISIYO NA KILEVI
JAYDEN AKIENYOY MICHEZO NA WATOTO
 
BURUDANI
CHAKULA
 WATOTO WAKIFURAHIA CHAKULA
NYAMA CHOMA
MAZAGAZAGA YALE UNAYOJUA WEWE YALIKUWEPO
MBONI WA THE MBONI TV TALK SHOW AKIONGEA NAWATOTO
JAYDEN AKIPEWA ZAWADI....
NYUSO
NAJMACUTE & BABY GAL

Post a Comment

1 Comments

  1. huyu mama jayden anafanana na mwamvita

    ReplyDelete