SHEREHE YA KUTOLEWA NJE BABY ETHANAEL & MAMA!!!

 NI SHEREHE FUPI YA KUWATOA NJE ETHANIEL NA MAMA YAKE BAADA YA SIKU AROBAINI ZA UZAZI, ILIYOCHANGAMSHA MTONI KIJICHI, HII NIMEIPENDAJE WALIMTOA KIMASAI, HUKU MAAGENT WA BANDARI WAKIMPA ZAWADI ZA UKWEE'E

BABA NA MAMA WAKIWA NA MTOTO WAO WA KWANZA ETHANIEL
 
 
 
 NATHAEL NA MAMA YAKE WAKITOLEWA NJE
CHAKULA
MK CATERER WAKIFANYA VITU VYAO
LE BOSS LADY MARIAM AKIWA KAZINI...
BURUDANI
WAKIPOKEA BENI BATI PALIKUWA HAPATOSHI
ZAWADI
 MAMA ETHANIEL AKIKABIDHIWA ZAWADI ZAKE NA MTOTO
 MAMA ETHANIEL AKIKABIDHIWA ZAWADI 
ZAMU YA MAMA MKUBWA KUKOSHWA NA MAAGENT WA BANADARI
 MAATA KAUNZWAJE HAPANA CHEZEYA
NYUSO
MARIAM, MAMA YAKE FATHIYA.....
MARIAM & MAMA ETHANIEL
MARIAM & FRIEND
MAATA & SHOSTITO
SHANGAZI & FRIEND
BABA YAKE ETHANIEL NA KAMPANI YAKE
MAAGENT HAO
MAMA MKUBWA MAATA AKIWA BABY ETHANIEL
RED CARPET

Post a Comment

0 Comments