EID MUBARAK!!!

SALAM ZA EID KWA WADAU WANGU TOKA KWANGU NA FAMILIA YANGU...

TETA
 TONA
 TONA & TETA

Post a Comment

13 Comments

 1. Mashughuli una watoto wazuri sana, niwekee mmoja awe mkwe wangu, namkuzia mumewe yuko darasa la tano

  ReplyDelete
 2. Wanao wazuriii,hongera

  ReplyDelete
 3. Mashaalah beautiful young girls,aunt Helen hao ni mabint zako? Samahani ila sura zao kama Wanyarwanda. Inshaal Mungu akukuzie.

  ReplyDelete
 4. MAMDOGO HAWA WOTE NI WANAOOOOO ? MASHALLAH VICHUNA

  ReplyDelete
 5. Mashallah, familia nzuri, hongera dada Mashughuli kwa kazi nzuri sana, kila la heri na Mungu akujalie zaidi na zaidi,

  ReplyDelete
 6. Mashallah una watoto wazuri sanaaa.. Eid Mubarak to u too mamii

  ReplyDelete
 7. Mtoto wako wazuri mashallah mwenyezi mungu akukuzie, ila huyo mkubwa ana macho mazuri ya kusinzia

  ReplyDelete
 8. cute baby gals

  ReplyDelete
 9. Mashallah! mabinti zako wazuri kama mama yao

  ReplyDelete
 10. mashallah.eid mubarak kwa sote.

  ReplyDelete
 11. Masha allah Mungu akukuzie. bautiful girls.

  ReplyDelete
 12. very beautfull daughters may God da Amight keep them health and my he protect them from the evil of this world .Have a wonderfull family mashughuli.

  ReplyDelete
 13. Mkwe mwenyezi mungu amekupa zawadi ya thamani sana...

  ReplyDelete