EMILIANA's SENDOFF PARTY!!!!!

Bride                              ::Emiliana Thobias
Event                             ::Sendoff Party
Venue                            ::Kiramuu Hall
Makeup                         ::Maznat Bridal
Cake                              ::
Color                             ::Pink Futcher,  Blue & Yellow
Photoby                         ::Mashughulimedia - +255655426100/758266701
YES NI MREMBO, MCHESHI NA MPOLE EMILIANA's SENDOFF PARTY, SHUGHULI YA UKWEE'E, CHINI YA MC MAHIRI DR. CHENI, MAKEUP ON POINT BY MAZNUT

DAD's DAUGHTER 
EMILIANA NA WAZAZI WAKE
MC-DR, CHENI
DECOR.........
EMILIANA AKIINGIA UKUMBINI
 SALA....
INTRO....
CAKE
 EMILIANA AKIWAPA WAZAZI CAKE YA ANNIVERSARY YA NDOA MIAKA 30
CHAMPAGNE
NASAHA
 BABA NA MAMA WAKIONGEA NA EMILIANA...
 EMILIANA AKIMSAKA MCHUMBA WAKE....
KISHA AKAMUONA
EMILIANA AKIMVISHA MCHUMBA MADINI "SILVA" NI CHENI NA BRACELET 
EMILIANA NA MCHUMBA
 CHAKULA
BURUDANI
HONGERA & ZAWADI
SHANGAZI WAKIKABDHI MWARI
 BYE BYE
NYUSO


Post a Comment

5 Comments

 1. Sherehe inaonekana ilikuwa nzuri, walipendeza sana maharusi watarajiwa.

  ReplyDelete
 2. Sherehe ilikua very classic na simple. Hakuna makeke... hongera Emiliana.

  ReplyDelete
 3. Alipendeza sana wifi yetu mtoto wa kisukuma Emiliana T. Mahende, hakika kaka yetu Herman Mwingira amechagua kifaa. Tunawatakia kila la kheri kwenye maisha yenu ya ndoa.

  ReplyDelete
 4. wow ilikua nzuri gauni la emiliana zuri sanaa!

  ReplyDelete
 5. Wooooow walipendeza sanaaa. Nimependa idea ya kuvaa tofauti Maid na Bi harusi sio kuvaa sare kama tulivyozoea. Biharusi anaonekana mpole na mchangamfu. Wageni pia walipendeza sana hongereniiiiiii

  ReplyDelete