SOPHIA's NIGHT!!!!

Bride                              ::Sophia
Event                             ::Sophia’s Night
Makeup                         ::
Gele                               ::Cute Looks Saloon - +255752903696
Color                             ::Mixed Colours
Photoby                         ::Mashughulimedia - +255655426100/758266701
YES, NI USIKU WA SOPHIA, PENDEZA SANA, HAPANA CEHZEYA WENYE MJI, SHUGHULI PAMBE YA UKWEE'E, BI HARUSI GELE LIMEFUNGWA NA CUTE LOOKS SALOON UMEONA ILIVYOYULIA SI MCHEZO....

GELE/LEMBA LIMEFUNGWA CUTE LOOKS SALOON WAPIGIE +255752903696
BWANA HARUSI AKIINGIA.....
  SOPHIA AKIMPOKEA MUME WAKE
DECOR.....///
MC-DALILAH JAGGAR
BURUDANI
BENDI YA KONGA MOYO IKITOA BURUDANI, CHINI YA UONGOZI WAKE IQBAL
MAHARUSI WAKIFUNGUA MZIKI
 ABDUL MISAMBANO AKIBURUDISHA
CHAKULA
SOPHIA AKITUNZWA...
SUBIRA GROUP KAMA KAWAIDA YAO, WAKIMTUNZA BI HARUSI MARIAM KWA NIABA YA MARIAM MKWECHE, MWANACHAMA MWENZAO
SISTERZ FOREVER MARIAM & SOPHIA
SUBIRA GROUP WAKIMTUNZA MWANACHAMA MWENZAO 
ESHE SURURU DIWANI WA KARIAKOO, AKIMKOSHA MARIAM MKWECHE
JOHA KABOTOKA NA KAMPANI YAKE WAKIMKOSHA MARIAM MKWECHE
MARIAM TWAHIR AKIMTUNZA SHOGA YAKE MARIAM MKWECHE
PAMBE YA MARIAM TWAHIR
MASOUD PICADILLY AKIMKOSHA MARIAM TWAHIR
SOPHIA AKIKOSHWA SET YA DHAHABU, MADINI, MADINI
DALILAH AKIMKOSHA NDUGU YAKE MARIAM MKWECHE
FAMILIA IKIMTUNZA SOPHIA
NYUSO
MARIAM & SOPHIA SISTERZ
LUTFIA...
BI ESHE SURURU DIWANI MPYA WA KARIAKOO
REHEMA KAYUNGWA & MAHARUSI
BAHIYA DESIGNER & SHAMSA
YAHYA & FRIEND
ANKAL MASOUD & NYOTA
 
LUTFIA & MARIAM
MARIAM MKWECHE, DADA YAKE BI HARUSI
SALMA KESSY & NYOTA ABDALLAH
DALILAH & SHEMEJI
MWANA-ASHA & FRIENDS
GHAIFE.....
MARIAM MKWECHE, SOPHIA & MARIAM TWAHIR
SHAMSA, BI HARUSI & FRIEND
GHAIFE, HANIA & BI HARUSI
ESHE SURURU & JOKHA SIMBA
 FATMA, KIJOLI & BO HARUSI 
SHUMULUV & SOPHIA
RED CARPET
JOKHA SIMBA, MARIAM & NURU MWENE, DRESS DESIGN BY JOKHA
 
KISMAT WIVES
JOKHA SIMBA NA SHEMEJI YAKE MKWECHE
Post a Comment

4 Comments

  1. nice wedding Allah awajalie kheri na baraka za Mtume wetu Muhamad (SAW)

    ReplyDelete
  2. MBONA UNACHAPIA BIBI HARUSI UNAMWITA BWANA HARUSI

    ReplyDelete
  3. Aliposema Bwana Harusi akiingia ni hapo Bi Harusi alipokuwa anateremka kumpokea mumewe nafikiri alikuwa na maana hiyo... Ilipendeza raha kuoana watu wazima mnajua nini mnachotaka manake ndoa siku hizi ni mitihani.

    ReplyDelete