ABU's SINGO!!!

 YES, NI SINGO YA ABU, KAWAIDA YA SINGO INAENDA NA NGOMA HAPA TULIKUWA NA WARUMBA, BWANA HARUSI ANASAFISHWA KWA AJILI YA SHEREHE YAKE, WAKATI ANASINGWA KINA MAMA TUNACHEZA NGOMA NJE...

NGOMBA YA WARUMBA, WAKATI BWANA HARUSI ANASINGWA NA BIBI ZAKE NDANI, NJE NGOMA YA WARUMBA INAENDELA....
BIBI AKITOA TAARIFA WAMEMALIZA KUMSINGA BWANA HARUSI
BIBI AKITUNZWA KWA KAZI YA KUMSINGA BWANA HARUSI, BWANA HARUSI HATAKIWI KUONEKANA MPAKA SIKU YA NDOA..
ZAWADI KWA MAMA MZAZI, BALOZI RADHIYA
YES ZAWADI PAMBE YA KISTAARABU NDANI TENGA LIKAPAKWA RANGI
 ILIKUWA NI SUPRISE.....SISTERZ MH. ASHA ROSE & FARIDA SIMBA
 MADINI MADINI MADINI
HAPANA CHEZEYA......
 BALOZI RADHIA, MAMA MZAZI WA ABU, AKIVISHWA MADINI MADINI
HII PIA ILIKUWA ZAWADI COKE YENYE JINA LAKE UBUNIFU
WAKAMKABIDHI TOWEL ZENYE JINA LAKE
 ROSE MWAPACHU AKIMTUNZA BAL. RADHIA
TUKIMKOSHA BALOZI RADHIA...
 ANNAN AKIMTUNZA BAL. RADHIA
MH. ASHA ROSE AKIMTUNZA MDOGO WAKE BALOZI RADHIA
NYUSO
 ROSE MWAPACHU & HAWA KATUNDA
 MWANAIDI MAAJAR
 AISHA MTENGETI & WIFIYE
SAUDA SIMBA & BABY GIRL
AMBASSADOR RADHIA MSUYA,  ZAMARADI KAWAWA, & FARIDA SIMBA
 ALMA, JUSNA & FRIEND
 SHAMIM & AMBASSADOR RADHIYA MAMA MZAZI WA BWANA HARUSI
 JOKHA SIMBA
AISHA MTENGETI WIFI YETU
 MWANAIDI MAJAAR & MH. ASHA ROSE MIGIRO - WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA
 RAHMA MTEMGETI & FRIEND
 SHYMA & FRIENDS
 KANEKA....MIE POZI YAKO TU
 FARIDA SIMBA MTENGETI -  MUKE YA KAKA
 DADA ZANGU HAO ZAITUN GAO & KIZIGA
 MY NUMBER DADA YANGU KIPENZI, MUKE YA BWANA SAID RAHMA MTENGETI
 ANAN FROM NAIROBI
JOKHA SIMBA. ALMA & JUSNA FROM UK
SHAMTE's & AISHA
KULTHUM & RAHMA
WHEN TWO JOKHA's MEET, JOKHA SIMBA & JOKHA SHAMTE
 KANEKA & FARIDA
JOKHA SIMBA NA WANAWE
 NOUR AZIZ & SHAMTE
FARIDA SIMBA & FRIEND
WARDA, JOKHA SHAMTE & 
 AISHA MTENGETI BONGE LA WIFI
 MH. ASHA ROSE WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA & FRIEND
JOKHA SHAMTE MIE NIMEPENDA HENNA TU PAMBE

 NYANTUNGA HENNA
 MASHAALAH 
ANNAN, AMBASSADOR RADHIA & FARIDA MTENGETI 
 FARIDA SIMBA
 ZAMARADI & BALOZI RADHIA
FAMILLIA........

Post a Comment

2 Comments

  1. Mashallah shughu nzuri jamani, tena nimeipenda mavazi ya kiislamu yamezingatiwa waalikwa hawakukiuka maadili jazakallah kheri mwenyezimungu awafanyie wepesi katika hili mmalize salama harusi yenu. Mashughuli uturushie na harusi na ma reception yanaonekana itakuwa pambe. Kila la kheri mwenyezimungu amfanyie wepesi Bw. Harusi katika safari yake hii. Amin

    ReplyDelete
  2. Balozi Mwanaidi Maajar,sio umuite Mwanaidi Maajar,samahani lakini kukumbushana kupo dada Helen
    https://www.google.ie/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=12&cad=rja&uact=8&ved=0CE8QFjALahUKEwjOzL2PoaHHAhXE6xQKHc3DA0A&url=http%3A%2F%2Fwww.allgov.com%2Fnews%2Fappointments-and-resignations%2Fambassador-from-tanzania-who-is-mwanaidi-maajar%3Fnews%3D842840&ei=IwnKVY6vFMTXU82Hj4AE&usg=AFQjCNHJPIeZGZNkGHNA8vt2FjBJxoDX4w&sig2=CnF9WP2tXX0vtOnel2euvg&bvm=bv.99804247,d.d24

    ReplyDelete