ASHURA's NIGHT!!!!

Bride                              ::Ashura
Venue                            ::Tabata
Event                             ::Ashura’s Night
Makeup                         ::Glambox
Color                             ::Yellow, Red & Green
Photoby                         ::Mashughulimedia - +255655426100/758266701
MASHAALAH ASHURA, UMEPENDEZA SANA, FLAWLESS MAKEUP IMETULIA  NA HIYO SMILE....YOU LOOK PRETTY NDANI YA USIKU WAKO..

MashAllah
 FROM GLAMBOX.......
 MAMA NA MWANA
DECOR......//
 ZAWADI
MAMA MZAZI AKIINGIA UKUMBINI NA PAMBE YA KINAMAMA KWA SHANGWE
ASHURA AKIINGIA..... 
 MAMA AKIMPOKEA BINTI YAKE...
 ASHURA AKISALIMIA.....
 DUA.....
KAMATI MOJA KWA MOJA WAKAKABIDHI ZAWADI
ASHURA AKIFICHULIWA....
 INTRO....
CAKE
CHAMPAGNE
BURUDANI
 CHAKULA
ZAWADI
MAMA MZAZI WA ASHURA AKITOA ZAWADI
MAMA NA MWANA...
 ASHURA AKITOA ZAWADI

NYUSO

Post a Comment

2 Comments

  1. Kitchen party ilipendeza sn,bi harusi ulinoga sn...Mungu akutangulie ktk ndoa yko.

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Ashura, Mungu kusimamie katika ndoa yako.
    Nimefurahi kumuona mama yangu Mama Mtunzi, hongera kwake kwa kuozesha.

    ReplyDelete