LATIFA & MAHMOUD WEDDING RECEPTION!!!!

Groom                           ::Mahmoud
Bride                              ::Latifa
Event                             ::Wedding Reception
Venue                            ::Zanzibar Beach Resort
Makeup                         ::Asila Bridal – 0717616852/0712938414
Decor                             ::Hugo Domingo
Cake                              ::
Color                             ::Black, White & red
Entertainment                ::Live Band
Photosby                         ::Mashughulimedia - +255655426100
WOOOH!!! AMAZING WEDDING LATIFA & MAHMOUD WAMEPENDEZA SANA, STYLISH WEDDING AT ZANZIBAR, I LOVE EVERY TOUCH OF DECOR-UP BIG HUGO DOMINGO!!! RED, BLACK & WHITE COULD BEEN SEEN THROUGHOUT THE RECEPTION AREA, FLAWLESS MAKEUP FROM PROFESSIONAL MAKEUP ARTIST ASILA BRIDAL, BEAUTIFUL BRIDAL GOWN, MASHUGHULIMEDIA CAPTURED THE SPARK OF LOVE IN MAHMOUD AND LATIFA, AND YOU CAN FEEL THE SPIRIT OF EVERY JOY IN EVERY PHOTO. NI ILE ILE SLOGAN YANGU SIMPLE & BEAUTIFUL
WE, MASHUGHULIMEDIA TUNAWASHUKURU MR & MRS LOUTIFIA SAID HIMID KWA KUTUPA NAFASI YA KUFANYA KAZI VISIWA VYA PEMBA

MR & MRS SAID HAMID NA MAHARUSI
SISTERZ, AZIZA & LOUTFIA WAKIWA NA BINTI YAO
WAZAZI MR & MRS LOUTFIA SAID HIMID
MR. SAID & MKWEWE
MAIDS PENDEZA SANA, KUANZIA 
NICE ONE...
CUTE GIRL MASHAALAH!!
MAHARUSI WAKIINGIA, WALIINGIA KWA STYLE PEKEE KABISA
BABA AKIWATUNZA MAHARUSI, ILIKUWA NI CHOP MONEY!!!
DECOR......///
I LOVE THIS FROM HUGO DOMINGO
SOUVENIR...
LATIFAH & MAHMOUD WAKIVISHANA PETE
CAKE
I LOVE EVERYTHING ON THIS WEDDING ESPECIALLY COLOUR SCHEME ON EVERYTHING....
BURUDANI-LIVE BAND
CHAKULA
NYUSO
AZIZA & MR & MRS SAID
WAZAZI & MAHARUSI
JOKHA & MIZE
AZIZA FROM USA & WAREMBO
SHABAN & FRIEND
FAMILY
FAMILY
WAZAZI WA MAHARUSI
AZIZA & LUTFIA SISTERZ
MAPACHA
GHAIFE, MARIAM & FRIEND
SAADA & HUSBAND
KAKA YANGU HAMZA KIHAGO & HIS WIFE, NICE TO SEE YOU!!
MARIAM TWAHIR SOMO YAKE LATIFAH 
FAMILY
MR & MRS KIHAGO WAKIWA NA MAHARUSI
DADA YANGU KIPENZI AISHA MASIKA & FRIEND
DAD's DAUGHTER 
MAHMOUD & MAMA MZAZI
LATIFA & MAMKWE
ANKAL YAHYA & FRIENDS
MY MAKEUP BY ASILA BRIDAL
RED CARPET
MY AZIZA NIMEKUPENDAJE.....
YAHYA CATERER 
I LOVE THIS STYLISH!!!
SHE IS CUTE GIRL MASHAALAH
MARIAM MKWECHE YOU ROCK!!!
MAMA MZAA CHEMA LOUTFIA, MRS.SAID HIMID
MIE HUYO, DESIGNER WANGU JOKHA SIMBA I LOBE THE DRESS, CALL +255 715 612 954
SISTERZ FOREVER AZIZA & LOUTFIA
BROTHER & SISTER
WITH MY FRIEND AZIZA
 
 
 
 
 MR & MRS SAID HIMID
MIBURUZO YA UKWEE'E
BYE BYE.... FROM ZANZIBAR


Post a Comment

15 Comments

 1. MAshallah watu wamependeza sana sana sana. Hongerani sana maarusi

  ReplyDelete
 2. it was very spacial one ,good arrangement,good color selections location was so selective very very special weeding
  amazing. thanks a lot those who are there for making the weeding colorful.
  tutumaa i'm your baby hajira

  ReplyDelete
 3. Mashallah harusi ya gharama na ilipendeza sana, bi harusi kapendeza sana ila hana pozi za picha masikini...hakuna hata picha moja alocheka. Napenda Zanzibar kwetu watu wanavyopania harusi Wallah... ng'aring'ari kila mtu... hakuna kitenge wala kimini. Receiption yake miburuzo...
  Da Hellen tuletee na picha za Singo alofanya Somo, Mariam Twahir.

  ReplyDelete
 4. MashaAllah nice wedding

  ReplyDelete
 5. Beautiful MashaAllah

  ReplyDelete
 6. MashaAllah nice wedding

  ReplyDelete
 7. Al islam nadheef, was so amazing, jamani nimependa sana.

  ReplyDelete
 8. Mashallah wamejipanga kila klitu safi na waalikwa wametendea haki Harusi kwa kuvaa vizuri , makeup nzuri kiukweli nasema zanzibar Oyeeeeeee

  ReplyDelete
 9. ilependeza mashallah, jamani wangemsaidia bi harusi kwa pose selfi hizi zinaharibu pose mana mapozi yote alokaa ni ya selfi tu na angecheka angependeza zaidi kuliko (zari pose )lol just sayinnn all in all wamefunika kwa zanzibar harusi zetu tunazijua wenyewe, jengine jamanii make up uwiii nimezipendaaa wazenji tunajifunza mambo sasa jamani nachukia jicho rangi kumi mieee na mipoudaaa hahaha make up on point kudos

  ReplyDelete
 10. Manshallah nimeipenda...so cute!!!!!!

  ReplyDelete
 11. Mashallah nimependa harusri ni nzuri sana, nimeona wengi majirani zangu Zanzibar ambao karibu miaka 25 sikuwahi kuwaona. imependeza.
  Hongera sana maharusi na waalikwa kwa furaha teleee.

  ReplyDelete
 12. mashallah allah barik

  ReplyDelete