LESTER & HELEN WEDDING CEREMONY!!!

Groom                           ::Lester Zitto
Bride                             ::Helen Ongara
Event                             ::Wedding Reception
Venue                            ::Nelly’s Inn
Makeup                         ::Beautybyperidot -
Cake                              ::Royal Oven
Color                             ::Black, White &Yellow
Caterer                           ::Mbezi Garden Hotel
Photosby                        ::Mashughulimedia - +255655426100/0758266701
SO DECENT & BEAUTIFUL WEDDING RECEPTION, I CAN CALL THEM SMARTEST COUPLE, HELEN LOOKED GORGEOUS IN DRESS, BEAUTIFUL ARRANGEMENT WEDDING PARTY, I LOVE DECORATION, BEAUTIFUL WHITE CAKE BY ROYAL OVEN, CONGRATULATION MY BEST FRIEND HELEN GOD BLESS YOU!!!
HELEN & SON ADAM....
MAMA WITH NEW FAMILY
LESTER & DAD
MAMA NA MWANA
HELEN AKIFANYA FINAL TOUCH KWA MAMA...
BRIDE SELFIE
MAOMBI KABLA YA KUTOKA NYUMBANI...
CHURCH
HELEN AKIINGIA KANISANI
MASHUGHULIBLOG WE SAY 1+1=1
HELEN's SHOES "I DO", LESTER's SHOES "ME TOO"
WAKISAINI VYETI VYA NDOA
YES WE MDA IT....
BAADA YA NDOA KUFUNGWA
DECOR.....///
HELEN & LESTER WAKIINGIA...
 MC
SALA.....
INTRO....///
LESTER KWANZA ALIMTAMBULISHA MKE WAKE...
 
HELEN AKITAMBULISHA FAMILIA
HELEN ALIAMUA KURUSHA UA MAPEMA...
LUCK GIRL...
CAKE
 CHAMPAGNE
CHAKULA
 HELEN's BIRTHDAY
MAMA MZAA CHEMA AKIMPA BIRTHDAY WISHES BINTI YAKE KIPENZI
BIRTHDAY GIFT...
BURUDANI
 HAPPIEST BRIDE....
NYUSO
ADAM
BEAUTIFUL BABY GAL
PROUD MAMA WITH VICTORIA & HELEN
BLACK CARPET


Post a Comment

14 Comments

 1. I love everything, simple nice and elegant, kila kitu kimeenda vyema, congratulation to them and with them happy in there marriage

  ReplyDelete
 2. harusi nzuri na mpangilio pia mzuri wameonyesha wazo tofauti watu waige muda kwani shughuli inapofanyika usiku huwafanya wanaoishi mbali kupata shida ya usafiri au kutohudhuria shughuli nawapa hongera sana maharusi kwa wazo lao na nawaombea kwa mungu wadumu milele

  ReplyDelete
 3. Bibi harusi katoka simple,clean,classy and beautiful na nimependa viatu vyake sio mambo ya kuvaa 7 inches ukitoka ukumbini miguu inatetemeka brides to be fanya kitu roho inapenda siku muhimu hii usijipe mateso...Kudos bride.... Napenda sherehe ya watu wachache kama hivi mnafanya harusi simple and clear congrats maharusi.

  ReplyDelete
 4. Nimependa kila kitu uwepo wa mungu uwe juu yao siku zote.

  ReplyDelete
 5. One of the best wedding reception, simple and classic...watu wachache hadi raha..hongera sana kwao

  ReplyDelete
 6. hongera maharusi. nimependa idea ya sherehe ndogo.nice

  ReplyDelete
 7. Very simple and nice wedding. Mbarikiwe sana bibi na bwana harusi.

  ReplyDelete
 8. Very Simple but sure. nimeipenda sana sana. congrats.

  ReplyDelete
 9. harusi safi kabisa! simple kabisa lakini pouwaaaa sanaaa. Umefanya kitu tofauti lakini nzuri. Hongera wedding planners

  ReplyDelete
 10. Beautiful imependeza kwa kweli the bride looking gorgeous

  ReplyDelete
 11. Wooooowww..... safi sana aiseee. Hongera bibi na bwana harusi na kila la heri kwenye maisha yenu ya ndoa.

  ReplyDelete
 12. the best ever luv de reception yaaani luv it it

  ReplyDelete