SINGO YA SHEKHA!!!!!

Bride                             ::Shekha Yusuf
Event                             ::Singo
Venue                            ::Chichi Hotel
Makeup                         ::
Color                             ::Gold, Orange, Green & Blue
Photoby                         ::Mashughulimedia - +255655426100/758266701
YAP!!! NI KITCHEN PARTY YA SHEKHA MWARI WAKE JUNAITHA SUPER STAR UMEFUNIKAJE TISHA MBAYA MDOGO WANGU HAPANA CHEZEYA UKO JUU, BONGO SUPER STAR NDANI YA SINGO, NI KITAMBO SIJAONA SINGO ILIYOCHANGAMKA HIVI, MWARI KANOGAJE, KWELI UKIWA MTU WA WATU MAMBO YAKO SAFI...ZAMA NDANI

MWARI NA SOMO
SOMO NA PAMBE YAKE WATOTO WA MUJINI, KITENGE MAMA YA KIJUMOZ CLASSIC, AMINA AMOUR, SHARIFFA KAVU & 
MC
MISHY BOMBA BEST MC MWENYE IQ KUBWAAAA NAMPENDAJE SASA
DECOR.....///
 ZAWADI
SHEKHA AKIINGIZWA UKUMBINI NA PAMBE YA MASOMO
 SOMO JUNAITHA NA PAMBE YAKE WALIINGIA KWA KISHINDO....NI FUJO BALAAA!!
HAPANA CHEZEYA SHURTI KWA UDI....
 SALMA MSANGI SHOSTI WA UKWEE'E WA JUNAITHA MIAKA 800
MWALI AKIFUNDWA KAMA ADA MAMBO YAMEKAMILI
 SOMO JUNAITHA AKIONGEA NA MWARI
 AUNTY FAYE AKIONGEA NA MWARI,......
CHAMPAGNE
 BURUDANI
ZAWADI
JUNAITHA AKIMTUNZA MWARI WAKE..... 
WAZAZI WAKIMTUNZA BI HARUSI
 SOMOS AKIKOSHWA
 MAMA MZAZI AKIMKOSHA SOMO
MAMA MZAZI WA BI HARUSI AKIWATUNZA MASOMO
BILAL AKIMKOSHA JUNAITHA
DIDA AKIMKOSHA JUNAITHA
DIDA AKIPASHA....KAMA KAWAIDA...
MARSHA AKIMKOSHA JUNAITHA SHOSTITO
PAMBE YA SOMO IKIMKOSHA JUNAITHA MAHELA
MWARI AKIMKOSHA SOMO KWA SHUGHULI PAMBE
PAMBE YA SOMO IKIMTUNZA JUNAITHA 
CHAKULA
CATERER NI ANKAL K, ANAPATIKANA INSTAGRAM "ANKAL_K" NI MPISHI WA UKWEE'E MAWASILIANO:: 0712 968 659
NYUSO
JUNAITHA NA WAPENZI WAKE
AMINA AMOUR SOMO WA UKWEE'E
HELLEN (WAJINA) & JUNAITHA
MIE NA DOGO LANGU....
UMMY KIBASA & FRIEND FROM USA
 SOMO WA UKWEE'E, PAMABE YA MUJI JUNAITHA MAMA YA VIPODOZO ASILIA MCHAKARIKAJI MDOGO WANGU MIE
FAIZA & FRIENDS
MAMA NA MWANA
AUNTY FAYE MAMI AKE RADHIA & JUNAITHA ALL THE WAY FROM UK
UMMY, BILAL & TINDWA
MARIAM PAPII & BI HARUSI WANGU HAPANA CHEZEYA
SHANNI SIMKOKO NA WATU WAKE.....
AUNT EZEKIEL WITH FREINDS
SHOSTITOS WA UKWEEE'E MIAKA 800
SHARIFFA, SAADA & FRIEND
MARSHA & FRIENDS
FARIDA TOM & TINDWA
AUNTY EZEKIEL & DOROTHY
SELFIE....
 HELLEN, MISHY BOMBA  & UMMY
MIE NA MY BEST FRIEND UMMY KIBASA, WE STILL LOVE EACH OTHER
MASOMO, AMINA & SHARRIFA NA MWARI WAO
BILAL MASHAUZI & KAMPANI YAKE UMMY KIBASA
 GEORGE & PAMBE YAKE
FARIDA TOM & HAWA
MARY & FRIEND
RADHIA....
MARY, SHARRIFA, KHADIJA & FREINDS
FAIZA, YULE HARUSI YAKE MPAKA LEO NI GUMZO LA JIJI & FRIEND
PENNY, PENDO & FRIENDS
RED CARPET
NELLY, HELLEN & TINDWA
SOMOS NA MWARI WAO
HELLEN, UMMY KIBASA, JUNAITHA & FRIEND
TANISA LOOKING HOT, DESIGNER BAHIYA DESIGNER CALL +255 233 362

Post a Comment

0 Comments