ERASTUS's BAG PARTY!!!!

Groom                           ::ErastUs Komba
Venue                            ::CRSC Hall
Event                             ::Bag Party
Décor                            ::DSM Occasions - +255 754 424 142
Color                             ::Pink & Yellow
Caterer                          ::
Photosby                       ::Mashughulimedia - +255655426100/758266701
YES!!! NI BAG PARTY ILIYOSISIMUA JIJI, HAPANA CHEZEA VITU CLASSIC, SARE IMEFUNIKA, HONGERA KWA MPAMBAJI, KAMATI YA SHUGHULI ILIJIPANGA VYEMA, ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

BROTHERZ
ERASTUS NA WAZAZI WAKE
DECOR..../////
ZAWADI
WAZAZI WALIANZA KUINGIA UKUMBINI
 MAMA KOMBA AKIINGIA UKUMBINI
 MILA ZA KINGONI KUGALAGALA CHINI "HESHIMA KUBWA"
 BABA MZAZI WA BWANA HARUSI ERASTUS AKIINGIA UKUMBINI
 KISHA MKEWE AKAMPOKEA
 BWANA HARUSI AKIINGIA UKUMBINI
 SALA......
 KAMATI
MWENYEKITI WA KAMATI MAMA KAPINGA....
MAMA KOMBA AKITOA INTRO....//
KWA HESHIMA AKIMTAMBULISHA MUME WAKE MPENZI....MWANAMKE HESHIMA KWA MUMEWE INAPENDEZA
CHAMPAGNE
CHRIS MAUKI AKIONGEA N ARASTUS
BURUDANI
CHAKULA
ERASTUS AKIPEWA ZAWADI
MAMA KOMBA, MAMA MZAZI WA ERASTUS AKIMKABIDHI KIJANA WAKE ZAWADI YA SITTING ROOM ILIYOKAMILIKA KWA NIABA YA FAMILIA
THANK YOU MAMA...!!!
MAMA KOMBA ALIWAPA MARAFIKI NA NDUGU ZAKE ZAWADI KAMA SHUKRANI KWA KUWA NAYE PAMOJA
MRS. KAPINGA AKIPEWA ZAWADI YAKE...
 ERASTUS AKITOA SOUVENIR KWA WAGENI, KAMA ASANTE
MRS. KAPINGA AKIKABIDHI ZAWADI YA BEDROOM SET, DINNING TABLE & DOUBLE DOOR FRIDGE  KWA ERASTUS
WANA JUMUIYA WAKIKABIDHI VITABU VYA DINI
 MAMA TUNU PINDA AKITOA ZAWADI
 MR & MRS KOMBA WAKITUNZWA KWA HATUA WALIOFIKIA YA KUOZESHA 
 MAMA KAPINGA AKIWATUNZWA MR & MRS KOMBA
 YES AKIKOSHWA KWA MADINI
NYUSO
MAMA MZAZI WA BWANA HARUSI ERSTOS AKIWA NA TUNU PINDA, MKE WA WAZIRI
REMINA & BOSSLADY (DIRECTOR WA DSM OCCASSIONS LTD) LILIAN KARAMNA
KARAMUNA SISTREZ
BWANA HARUSI ERASTOS AKISALIMIANA NA MAMA PINDA MKE WA WAZIRI MKUU
MAMA MZAA CHEMA
RED CARPETPost a Comment

2 Comments

  1. Wamependeza sana ndugu zetu wa kunyumba cant wait for the wedding....make up was perfect wabongo tume improve sana kwenye make up lazima tujisifie.

    ReplyDelete