ANASTAZIA'S SENDOFF PARTY!!

Bride                    :: Anastazia Miyekelo
Event                   :: Sendoff Party
Cake                    :: Yummies Bakery
Makeup               :: Cute Looks Saloon - 0752903696
Venue                  :: Kwalalalumpa Hall
Color                   :: Bluegreen, Maroon & Watermelon
Photosby             :: Mashughulimedia - +255655426100
YES NI SENDOFF PARTY YA BINTI MREMBO MCHESHI NA MWENYE ADABU, NILIKUTNA NAYE KABLA YA SHUGHULI YAKE, HONGERA WAZAZI KWA KUMLEA ANASTAZIA KATIKA MAADILI YAMPENDEZAYO MUNGU, KAPENDEZA SANA, MAKEUP ON POINT BY CUTE LOOKS SALOON....

ANASTAZIA AKIWA CUTE LOOKS SALOON AKIRWEMBA
DECOR....
 WAKWE WAKIINGIA NA VITU VYA KIMILA
 MAIDS WAKIINGIA KWA KISHINDO HAPANA CHEZEYA
 MATRON AKIINGIA
ANASTAZIA AKIINGIA NA KAKA ZAKE ULINZI WA KUTOSHA
INTRO.......////
 WAKWE WAKIJITAMBULISHA
CAKE

CHAMPAGNE
KAMATI WAKIPATA CAKE YAO
WAZAZI WAKIONGEA ANASTAZIA
ANASTAZIA AKIMTAFUTA MCHUMBA....
MCHUMBA WANGU HUYU HAPA
KWANZA AKAMVISHA SAA
ANASTAZIA AKIMPA MCHUMBA WAKE ZAWADI YA KIKOMBE CHENYE PICHA YAKE
CHAKULA
BURUDANI
ZAWADI
FAMILIA IKITOA ZAWADI 
ANASTAZIA AKITOA ZAWADI KWA WAZAZI
NYUSO
Post a Comment

0 Comments