AROBAINI YA MAREHEMU ROSE SHOGHOLO, SAME, KISIWANI

AROBAINI YA MAREHEMU ROSE SHOGHOLO ILIFANYIKA KIJIJINI KWAO KISIWANI SAME, FAMILIA YA MAREHEMU CHIFU SHOGHOLO PAMOJA NA MAJIRANI WALIFANYA MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU ROSE PAMOJA NA KUTEMBELEA MAKABURI WA WANA FAMILIA WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI, MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU PEMA PEPONI

MAMA MCHUNGAJI AKITOA NENO
KWAYA WAKIIMBA
 MAMA MCHUNGAJI AKITUPA UPAKO.....
ZUHURA & MAMA NESHY
ANNA DADA YAKE MAREHEMU ROSE AKIWASHUKURU MAJIRANI NA FAMILIA KWA UMOJA NA UPENDO WAO MPAKA HII LEO
 FAMILIA WAKIPEANA MKONO 
CHAKULA
BAADA YA CHAKULA FAMILIA ILIELEKEA MAKABURINI
WALIANZA NA KABURI LA MAREHEMU ROSE AMBAYE NDIO SIKU YA AROBAINI TANGU AFARIKI DUNIA

WAKIWASHA MISHUMAA KWENYE KABURI LA MAREHEMU ROSE
WAKISALI KABURINI
DADAZ, HAWA NI MADADA WA FAMILIA MOJA KWA BABA NA MAMA WATOTO WA MAREHEMU CHIFU SHOGHOLO
WAJUKUU
SISTERZ
 BOB MTOTO WA KWANZA MAREHEMU ROSE
 KABURI LA MAREHEMU CHIFU SHOGHOLO
 KABURI LA MAREHEMU CHIFU SHOGHOLO 
 WAKISALI KWENYE KABARU LA BABA YAO CHIFU SHOGHOLO
 FAMILIA YA CHIFU SHOGHOLO WAKIWA KWENYE KABURI LA DADA YAO AGATHA
WALISALI NA KUWASHA MISHUMAA
FAMILIA IKIIMBA TENZI ZA ROHONI KWENYE KABURI LA MAREHEMU AGATHA NA KUWASHA MISHUMAA
NYUSO
MARIAM, AKIWA NA SHEMEJI NA BABY FETTY
ANNA & SISTER
BROTHER JOHN
 MAMA NA MWANA

 MAMA MDOGO MARIAM NA MABINTI ZAKE
 ZUHURA NA DORA
 OMARY NA ZAKAYO
MWANAMAZINGIRA A KUJITOLEA KIJIJINI KISIWANI, ANAOTESHA MITI PEMBEZONI MWA BARABARA KUBWA YA KIJIJI, NILIMPENDA SANA
MARIAM AKIPATA ZAWADI YA UA BAADA YA KUMSUPPORT MWANAMAZINGIRA KWA KUMNUNULIA JEMBE...
Post a Comment

0 Comments