HAKIKA & MAULID YA BABY FATHIYA!!!!

YAP NI HAKIKA NA MAULID YA BABY FATHIYA, MASHAALAH!!!!! EEEH MOLA WETU TUANKUOMBA UTULINDIE MTOTO WETU NA WENGINE WOTE INSHAALAH!!!

 
MC - ANNA
PAMBE KWA SASA HABARI YA MUJINI
HAKIKA & MAULID
 WAMINSHARI, NA SHARI ZAO, WAINA HUSDA NA HUSDA ZAO NI KINA NANI SI HAO WASIOKUWA KAZI KUFUATA YA WENZAO
FATHIYA AKITOLEWA NJE
 MAMA ZUHURA, DADA MKUBWA
 MARIAM NA WIFIS
FATHIYA NA DADA ZAKE WANAKAPENDAJE SASA,,,,
UMMY KASU & BABY FATHIYA
BROTHER & SISTER
UFUNGUZI WA NYUMBA BAADA YA DUA
 CHAMPAGNE ZETU NI NON ALCOHOLIC ( HAZINA KILEVI)
 RAHA YA DUNIA NI WATOTO, JAMANI NIMEKUMBUKA KHANGA ZA ZAMANI SANA...
 MARIAM AKIKATA UTEPE.....
 MAMA AKIPONGEZWA NA MTOTO WAKE JAMAL (DR)
TUKIMPONGEZA MWENZETU KWA HATUA MUHIMU
  SALMA AKIMTUNZA MARIAM WIFIYE
SADAKA.....MK CATERER WAKISAVE CHAKULA KWA CHAKULA KINZURI NA HUTOLALAMIKA NYAMA YA KUKU HAWA NI BEST WASILIANA NA 0655426100
 BABY FATHIYA AKITOA ZAWADI...

 MTOTO KWA MAMA HAKUI DR. JAMAL 
TUMTUNZA MARIAM KWA NIABA YA FATHIYA
BABY WETU SISI NDIO WAZAMINI WAKE EEEEH!!!
MWANAIDI AKIMTUNZA BABY
SALMA AKIFANYA YAKE
 MIE NA DADA ZANGU TUKIMTUNZA MARIAM NA FATHIYA
MWARI AKIMTUNZA SOMO
MAMA DULLA HAPANA CHEZEYA UNATUNZAJE
NAATA AKIMTUNZA BEST FRIEND MARIAM
GETU & SHOSTITO
UNCLE MSAFIRI KAMANDA WETU AKIMPA HONGERA FATHIYA
JAMAL NA RAFIKI WAKIMPA MKONO WA PONGEZI MAMA
 WADOGO ZAKE MARIAM WAKIONGOZWA NA MC PAMBE MC ANNA
 KWA MOYO WA UPENDO KWA FATHIYA, MARIAM AKIWASHUKURU DADA ZAKA FATHIYA
 WAKE ZA KAKA HAO WAKIMTUNZA WIFI
NYUSO
MAMA NA WANAWE....
ODO ANNA & BABY FATHIYA
KAKA JAMAL

Post a Comment

6 Comments

 1. MASHAALLAH MOLA AMKUZE KWA AFYA NJEMA FURAHA MAADILI NA MEMA YA DUNIA NA YA KESHO AKHERA FATIHA NA WATOTO WOTE
  ILA BABA SIKUMJUA NI YUPI
  MOLA AWAPE MDOA NJEMA MZIKANE MPAKA RAHA
  NYUMBA MASHAALLAH

  ReplyDelete
 2. Kuna watu wako vizuri na wanafanya mambo yao kwa stara hawana mapepe wala nini na wako juu dah nimewapenda na wengine wapenda sifa wajifunze mtoto mcuteeeee na madini ya nguvu dadadeki

  ReplyDelete
 3. sio jamal ni Miraj Dr

  ReplyDelete
 4. Shughuli imependeza sana mjalie afya na umri mtoto huyu awe ni mtoto bora katika umati wako wa muhamad SAW, Mjaze mama yake roho ya upendo na imani katika makuzi yake, mjaze baraka zako pamoja na za kipenzi chetu Muhamad SAW

  ReplyDelete