LIZ KITCHEN PARTY!!!

Bride                    ::Liz
Event                   ::Kitchen Party
Cake                    ::
Makeup               ::Kani
Venue                  ::Lulu Hall
Color                   ::Purple, Orange  & Gold
Photosby             ::Mashughulimedia - +255655426100
YES NI LIZ WHITE KITCHEN PARTY, SI YA KAWAIDA WATU WAMETOKEEAZEA , BI HARUSI PENDEZA SANA....

DECOR.......////
LIZ AKIINGIA UKUMBINI
SALA.....
CAKE
 CHAMPAGANE
LIZ AKIPATA MANENO 
 AUNTY SADAKA - MWANAHARAKATI, MUELIMISHAJI MASWALA MBALIMBALI YA JAMII AKIONGEA NA LIZ
 LIZ AKIPATA UPAKO....
BURUDANI
CHAKULA
ZAWADI
MAMA AKIMKABIDHI LIZ ZAWADI
MAMA AKITUNZWA....
 LIZ AKIMPA ZAWADI MAMA ZAKE...!!!
ALIANZA NA MAMA MZAZI, SHANGA YA UKWEE'E YA GHARAMA NI LULU TENA ORIGINALLY
MAMA NA BINTI YAKE....
 BYE BYE
NYUSOPost a Comment

4 Comments

 1. nice kitchen party wote waalikwa na bi harusi mtarajiwa wamapendeza na makeup pia zimetulia hongereni

  ReplyDelete
 2. make up zimetulia kwa watu wotee big up

  ReplyDelete
 3. riz alipendeza sana na wageni waalikwa

  ReplyDelete
 4. wounderfull, it is very hot and classic, very smart and nice kwakweli waandaji wameenda kidato, wadada na wamama wote wamependeza mpaka unashindwa kuwatofautisha mama ni yupi na mtoto ni yupi big up wamama raha jipe mwenyewe karaha wakupe watu.. Liz big up hongera umzuri na mrembe all da best, tuonmbee sisi wengine ambao bado na sisi tuingie huko... dada Helleni please Caption muhimu kwenye picha buana, kuna mdada hapo nimependa but nimeshindwa kumjua jina coz picha hazikuwa na maelezo. but good job... Sophia

  ReplyDelete