MAGDALENA's KITCHEN PARTY!!!Bride                    :: Magdalena (Nana)
Event                   :: Kitchen Party
Cake                    ::Doreen's Cake
Makeup               ::Gng Saloon
Venue                  :: Tazara Hall
Décor                  :: Dotinata
Color                   :: Hot Pink & White
Catarer                ::Dotinata
Photosby             :: Mashughulimedia - +255655426100
YES NI KITCHEN PARTY YA BINTI MREMBO MAGDALENA, A.K.A NANA, PENDEZA SANA NIMEPENDA NGUO YAKE, RANGI YA GREEN APPLE, SHUGHULI PAMBE KWA SANA TU, WAALIKWA PENDEZA SANA NDANI YA HOT PINK & WHITE....
  MAMA NA MWANA
UNCONDITIONAL LOVE.....
WIFIS WA UKWEE'E....
MC
 ZAWADI
MAMA AKIINGIA
 MAGDALENA AKIINGIA UKUMBINI....... KWA CONFIDENCE!!!
NGUO IMEMWAGIKA EEEH!!!
 SALA YA KUFUNGUA SHUGHULI
KAMATI
WANAKAMATI WAKIKABIDHI ZAWADI YA VYOMBO VYA JIKONI
MAGDALENA AKITOA INTRO.....///
CAKE
 CHAMPAGNE
MAGDALENA AKIGAWA SOUVENIRS
MAGDALENA AKIPATA MANENO YA AKIBA....YAMSAIDIE KWENYE NYUMBA YAKE
BURUDANI
ZAWADI
MAGDALENA ALIANZA KUWAPA ZAWADI MAMA ZAKE, DADA ZAKE KWA KUWA KARIBU TOKA MWANZO HADI LEO
 ALIANZA KUMVISHA MKUFU WA DHAHABU
KISHA AKAMKABIDHI BEDROOM FURNITURE, ZA UKWEE'E...
 MAGDALENA NAYE AKAMJIBU MAMA KWA KUMVISHA MKUFU WA MADINI...
PAMBE YA KINA MAMA WAKIMSINDIKIZA KUKABIDHI SANDUKU
 MAMA AKIKABIDHI SANDUKU KWA BINTI YAKE
 MAGDALENA AKIMSHUKURU KWA MAMA KWA ZAWADI ZA UKWEE'E
YES!!! WENYE PESA, MAMA MZAZI AKITUNZWA MWAVULI WENYE PESA
KISHA AKAVISHWA TAJI LA PESA
EEEEH NI MWAVULI ULINAKSHIWA NA PESA
HAPANA CHEZEYA DADA ANNA UMETISHA....KWA KUTUNZWA
MAMA MZAZI AKISHUKURU KWA FURAHA
CHAKULA
NYUSO
NI ZILE LACE ZINAZOBAMBA KWA SASA
MAMA MZAA CHEMA PENDEZA SANA MY DADA
RED CARPET
 
WOMEN SUPPORT WOMEN
ASANTE DADA YANGU ANNA NAKENYA KWA KUNIUNGA MKONO....!!!

Post a Comment

0 Comments