MARIAM's KITCHEN PARTY!!!

Bride                     :: Mariam Hilal
Event                    :: Kitchen Party
Cake                     :: Mama Tahiya
Makeup                :: Laviemakeup
Décor                   :: Princess Latifa
Venue                  :: Msasani Tower
Color                  :: Pink, Orange , Peach
Photosby             :: Mashughulimedia - +255655426100
MARIAM KITCHEN PARTY MASHAALAH PENDEZA SANA, SOMO PAMBE SANA SUPER STAR NYOTA ABDALLAH, SUBIRA GROUP NA SUBIRA JUNIOR GROUP JUNIOR TISHA KWA SANA, MUIMBAJI BUSHOKE ATOA BURUDANI
MC
DECOR....../////
MARIAM AKIINGIA UKUMBINI
 MARIAM AKIWA NA SOMO YAKE NYOTA PAMBE SANA.
MARIAM INTRO...///
SUPRISE TOKA KWA MCHUMBA....
 ALISINDIKIZWA NA DADA YAKE
 SOMO WA UKWEE'E AKIIMBA LIVE ON STAGE, SUPERSTAR NYOTA

 MARIAM AKIMPOKEA MCHUMBA WAKE...!!!!!
CAKE
CHAMPAGNE
CHAKULA
BURUDANI
ZAWADI
 SUBIRA GROUP WAKIMTUNZA MARIAM 
SOMO WA UKWEE'E NYOTA NA PAMBE YAKE WAKIMTUNZA MARIAM
 SUBIRA JUNIOR GROUP WAKIMKOSHA MARIAM
WIFI AKIMTUNZA MARIAM
ARAFA TAMBA AKITUNZWA.... 
NYUSO
RAHMA KISMAT & FRIENDS
BISHARA & MARIAM
SUBIRA JUNIOR GROUP
MARIAM NA WIFIYE
ARAFA TAMBA NA SHOSTI
SUBIRA GROUP LOVELY
MAMA NA MAHARUSI
SOMO NA PAMBE YAKE
THURAIYA & RUKIA
RED CARPET
BYE BYEPost a Comment

3 Comments

  1. huyo dada wa bwana harusi anaitwa Enjo.

    ReplyDelete
  2. Bi harusi alipendeza mashallah

    ReplyDelete
  3. ilikuwa nzuri sanaaaaaaa

    ReplyDelete