SAKANA NURSERY & PRIMARY ENGLISH MEDIUM SCHOOLS!!!

 SAKANA NURSERY & PRIMARY ENGLISH MEDIUM SCHOOLS, UKIWA NI WAKATI WA KUJIANDAA KWA SHULE YA MWANAO, SAKANA NI SHULE NZURI YENYE ELIMU BORA, WALIMU WALIOBOBEA TOKA NJE YA NCHI NA NDANI, MAZINGIRA MANZURI YA SHULE, PIA WANAPOKEA WATOTO WA KULALA SHULENI, (BOARDERS) KUANZIA CHEKECHEA MPAKA DARASA LA SABA TOKA MIKOA MBALIMBALI, WANAPATIKANA KILUVYIA DAR ES SALAAM MAWASILIANO.:: 255 712 962 831/ 0764 214 775 & 0754 263 990
ZAMA NDANI KUONA ZAIDI.....


Post a Comment

0 Comments