ALLY & NAIMA AQDI!!!!

Bride                          :: Naima
Groom                       :: Ally

Venue                        :: Officers Mess Osterbay
Event                         :: Islamic Aqdi
Makeup                     :: Glambox
Color                          :: Aqua Green & Gold
Photosby                   :: Mashughulimedia - +255 655 426 100
YES NI YULE BINTI MREMBO MWENYE TABASAMU PANA, BAADA YA ILE KITCHEN PARTY YAKE LEO NI NDOA MASHAALAH KAPENDEZA SANA, KAVISHWA NA LILE DUKA KUBWA KABISA J & M VIRGO WAJANJA WA VIVAZI MJINI...AMINA NDOA IWE YA KHERI INSHAALAH....

DECOR....///
BI HARUSI AKIINGIA
NAIMA AKIINGIA NA DADA YAKE MISHY
BWANA HARUSI AKIINGIA.....
 BWANA HARUSI ALLY AKIMPA MKONO MKEWE WAKE....
 DUA.....
 BURUDANI
BARKA
NYUSO
DADAZ
DIRECTOR MISHY
MAMA NA MWANA
JAMES, DIRECTOR J&M VIRGO
SAMEERA & FRIENDS
MCHICHI & MISHY HAPANA CHEZEYA
NAIMA & SHOSTITOS....
SHARIFFA  & KHADIJA  RHOZELLA
NYUSO


Post a Comment

3 Comments

  1. beautiful aqdi mungu awajalie ndoa iwe ya kheri na furaha pamoja na kizazi chenu inshallah

    ReplyDelete
  2. Mashallah katulie na mumeo binti mmependeza sana so quit.

    ReplyDelete
  3. Maharusi wamenoga balaa, wameendana mashallah, Allah awajaalie ndoa yenu iwe na kheri nanyi!!!

    ReplyDelete