HAWA & IBRAHIM AQDI!!!!

Bride                          :: Hawa
Groom                       :: Ibrahim
Venue                        :: Ilala
Event                         :: Islamic Aqdi
Makeup                     :: Monica
Color                         :: Aqua Green & Red
Bride-dressedby      :: Jokha Simba +255 715 612 954
Photosby                  :: Mashughulimedia - +255 655 426 100
  MASHAALAH MWENYEZI AKUJAALIE KILA LA KHERI HAWA, BI HARUSI KAPENDEZA NA NGUO ZAKE ZOTE , HONGERA DESIGNER JOKHA SIMBA, YES ILIKUWA NI FURAHA HAPO ILALA, MDOGO WETU KAPATA WAKE WA UBANI, HAPANA CHEZEYA NURU MWENE SI MCHEZO, KINANDA TOKA ZENJ, CHOLO GHANUN NDANI...

 DESIGNER JOKHA SIMBA-0715612954
MAMA NA MWANA...
DECOR....////
 MAULID & NDOA IKIFUNGWA
MALAVIDAVI

HAWA NA SOMO YAKE JOKHA SIMBA
NURU MWENE NA SHEMEJ YAKE BA FAISAL FEREJ
NURU MWENE, HAWA & SHUMULUV
HAWA & IBRAHIM PAMBE TU MDOGO WANGU
BI HARUSI AKITOLEWA NJE
NGUO YA HAWA ZOTE DESIGNER NI JOKHA SIMBA-0715612954
BURUDANI
RAHATOZAMAN KINANDA AKIWEMO CHOLO GHANUN TOKA ZANZIBAR UKIWAHITAJI WASILIANA NA +255 715 566 600
GHANUN
 YAHYA NI KIBOKO.....
FAIZA MAFISH AKIIMBA....
LUZENGO MASHAALAH
MADAM AKITUNZA
ABUBAKAR MZURI NA YEYE PIA ALIKUWEPO
YAHYA AKIIMBA MASHAALAH.....
NURU MWENE AKITUNZA KWA FURAHA
NYUSO
KURWA, HASINA MOO & MOO CHAKA
JOKHA & FADYA
FADYA NA JESHI LAKE MASHAALAH
FAMILY....
CUTE MASHAALAH!!
MAMA YA UKWEE'E FATMA ADAM
FADYA & BABY ISAACK
FADYA NA MABINTI ZAKE MASHAALAH
NASREEN, HAWA & HABIBA
YAHYA HUSSEIN & FRIENDS
AMINA & DALILA NORMAN
TANISA @TROUBLEWOMAN
DALILAH & BI HARUSI
SISTERZ FOREVER
WATU MAALUM NA MAMBO YAO MAALUM
FADYA & HAWA
MIE NA MY DADA HAJAT JOKHA SIMBA DESIGNER
FAMILIA
FADYA FEREJ & SHAMSA 
NURU MWENE NA MDOGO WAKE FATMA ADAM WAKIWA NA BINTI
HAMISA, FATMA ADAM, NURU MWENE & SHUMU
TUNDA & FRIENDS
AMANA & FRIEND
BI NURU NA BINTI YAKE
 FAMILIA....
HABIBA & HAWA

BABILATINO-MWENYEKITI
AAAAEEEEH KUOLEWA UTARUDI NYUMBANI KUTEMBEA....Post a Comment

1 Comments

  1. Allah wajalie waja wako hawa ndoa yao iwe na furaha na amani idumu mpaka kufa kwao inshallah

    ReplyDelete