MINNA'S SENDOFF PARTY!!!

Bride                          :: Amina aka (Minna)
Event                         :: Sendoff Party
Cake                          ::
Makeup                     :: Laviemakeup
Décor                        :: Dages Décor  +255 713413663
Venue                       :: Brigadier Mess Lugalo
Color                         :: Red, White & Black
Photos-by                :: Mashughulimedia - +255655426100
EEEH NDIWOO, NI MINNA SENDOFF PARTY MASHAALAH PENDEZA MPAKA BASI, SI UNAJUA ILE SIMPLE BUT EXPENSIVE NDIO HII, SHUGHULI PAMBE, DECORATION YA HALL TAMUJE, HONGERA KWAKE DAGES DECOR UMEFANYA MAAJABU, SUPER!!!
MINNA & SISTER JOKHA
DECOR......////
YES NI YA UKWELI KABISA TOKA KWA MPAMBAJI DAGES DECOR, UKIMUHITAJI
MAWASILIANO:: +255 713 413 663
STAGE IKO SIMPLE BUT BEST OF THE BEST
WAKIINGIA
FAMILIA IKIINGIA
WAKWE WAKIINGIA
BI HARUSI AKIINGIA NA WAPAMBE WAKE
ANGEL AKIINGIA BEAUTIFUL....
SALA.....
INTRO,,,,,//
CAKE
CHAMPAGNE
 NI WAKATI WA NDAFU
WAZAZI WAKIONGEA NA MINNA
MINNA AKIMSAKA HABIB WAKE...
 AKIMPA ZAWADI MCHUMBA, NI MWENDO WA JISAA...
BIG HUG
HUYU NDIE NIMPENDAYE
KARIBU CHAKULA LAZIZ...
CHAKULA
BURUDANI
ZAWADI NA HONGERA KWA MINNA
HAPANA CHEZEYA JACK
DADA JOKHA AKITUNZWA
 SCHOOL MATE WAKITOA ZAWADI
UNASHANGAA MINNA HII NDIO RAHA YA KUOLEWA, MADINI HAYO
 MINNA AKIWATUNZA DADA ZAKE
WAKWE....
MINNA AKIWATUNZA MAIDS WAKE
NYUSO
JOKHA, MINNA's SISTER
AZIZA MANZI, MINNA's SISTER
SISTERZ
MAIDS PAMBE
MINNA"S SCHOOL MATE
MINNA's RED CARPET
KWA BANNER KAMA HII CALL 0655426100


Post a Comment

0 Comments