SALMA'S KITCHEN PARTY!!

Bride                         :: Salma Mwerani
Event                        :: Kitchen Party
Cake                         :: Sweet Hands
Makeup                    :: Monica
Caterer                     :: Ankal Yahya - +255 713 215 615
Venue                       :: Water Front
Color                        :: Aqua Green, Yellow, Peach
Photosby                 :: Mashughulimedia - +255655426100
YAP NI SALMA's KITCHEN PARTY, HAPANA CHEZEYA MAAGENT WANGU WA BANDARI MKO JUU....SHUGHULI PAMBE KWELIKWELI
SALMA NA MAMA MZAZI
SALMA NA DADA YAKE
MWARI NA SOMO
DECOR......
ZAWADI
MC
MAMA MZAZI AKIINGIA
 BI HARUSI SALMA AKIINGIA WATERFRONT
 MAMA AKIMPOKEA BINTI YAKE
 DUA....
 MWARI AKIFICHULIWA.....
SOMO N MWARI WAKE
 KAMATI IKIKABIDHI ZAWADI YAKE KWA BI HARUSI
YES!!! NAKUAMINIA KYIDAWA MWENYEKITI
YES NI NEW 2 DOOR FRIDGE
INTRO.....////
CAKE
 CHAMPAGNE
BURUDANI
ZAWADI
BI HARUSI AKITOA ZAWADI KEYHOLDER KWA WAGENI
MAMA AKIKAMKABIDHI BINTI YAKE ZAWADI
SALMA AKIMTUNZA MAMA
 MAMA AKIONGEA...
SOMO AKIMTUNZA MWARI
 SALMA AKIMKOSHA SOMO... 
SMART DADAZ WAKIFANYA YAO....HAPANA CHEZEYA WAKO JUUUU
GRACE AKIMTUNZA SALMA
YES NI SILVER ORIGINALLY
MAMA AKITUNZWA
MARIAM MAMA YA MK MASHAALAH PAMBE TU NA KAMPANI YAKE MAAGENT WA BANDARI WAKIMSINDIKIZA KUMTUNZA SALMA
AKIMSHOWER SALMA KWA MAHELA...
AKITAMBA KWA MAPANA NA MAREFU
UMEONA MAMBO ILIKUWA RAHA TUPU...
MC ANNA, AKIONGEA KWA NIABA YA DADA YAKE MARIAM MC MPYA NDANI YA TASNIA, ANAFANYA KAZI YAKE IPASAVYO, UKIMUHITAJI NIPIGIE MIMI DADA YAKE.....
DADA AKIMPA ZAWADI MDOGO WAKE
PHINA AKIMTUNZA SALMA
 MC JAMILA AKIMYUNZA SALMA
SHANGAZI AKITUNZWA
SALMA AKIMTUNZA DADA YAKE
MARIAM AKIMKOSHA SOMO...
CHAKULA
NYUSO
MARIAM MKURUGENZI WA MK GROUP OF COMPANY & SALMA
ANNA & MAMA NASHY PONDEZA SANA MASHAALAH
SMART DADAZ & BI HARUSI
 SALMA & SMART DADAZ
MWANAIDI & SHOSTITO
LILYKHADIJA WA UKWEE'E MAMA YA RUMBA MWANZO MWISHO
KYIDAWA, NAOMBA NIONGEE KWA HUYU KYIDAWA NI RAFIKI NA MDOGO WANGU, NA ANANISUPPORT SANA...NAPENDA UJUE NAKUPENDA SANA.....
MARIAM, MAMA YA MK GROUP OF COMPANY 
MBAGA's FAMILY PENDEZA SANA
WAPENDANAO ZUHURA, LILYKHADIJA, MARIAM, MAMA NASHY & MC ANNA
WATU WANGU, SUPPORTERS WANGU NAWAPENDAJE SASA NAATA, MARIAM MK & GRACE
SHARRIFA KAVU, MC JAMILA, KHADIJA ROZELLA & BI HARUSI
DOGO LANGU LA UKWELI MWANAIDI.....
RED CARPET
UDUGU HAZINA YETU.....!!!


Post a Comment

2 Comments

  1. Bi harusi kapendeza sana inaionekana ilikua pambe

    ReplyDelete
  2. Bibi harusi alipambwa vizuri na alipendeza mno. Hongera sana Salma.

    ReplyDelete